Tetesi: Edward Lowassa kuongea na vyombo vya habari kesho kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam

Tetesi: Edward Lowassa kuongea na vyombo vya habari kesho kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam

Status
Not open for further replies.
MUSSA ALLAN yupo kimya anasubiri kauli ya Mamvi, akitangaza kuhamia CCM atakuja humu kumwaga povu.
 
Lowasa anaakilisana alitaka machadema wamsafishe wenyewe ili wakimaliza kumsafusha arudi Ccm.
Ngoja tuone kama akirudi watasema tena fisadi
Na ccm watamwita nani siwalimwita fisadi, acha umbumbu wewe
 
Lowassa ni Great leader.. tatizo CHADEMA wanafanya siasa za utoto na low standards.. Mh. Lowassa nadhani kajaribu kuwarekebisha ila bado hawaelewi..

Hint: Mh. Lowassa kalelewa na kukulia CCM, hivyo akitaka kurudi hakuna shida, CCM tuko tayari kumpokea kwa mikono yote miwili..
Duuuh leo mko tayari kumpokea? Si mlikua mnamuita fisadi nyie?
 
Ni bora simba dume mla watu aliye nje ya nyumba, kuliko nyoka alie ndani ya nyumba
 
Never, he is leaving. Kwenda siyo hoja, hoja ni kujikomba kwa kumsifia wakati kuna maangamizi yanafanywa na huyo aliyemsifia. It is a pity kuwa yanafanywa na Lowasa. Amesahau kuwa huyu alipiga push up kuonyesha kuwa yeye si mgonjwa mgonjwa ni Lowasa, leo kasahau!

View attachment 671819

Hii ilikuwa kuonyesha kwamba yeye haumwi anayeumwa ni Lowasa
Umenena mkuu
 
Mbowe lawama ya xhama umeibeba ukubali usikubali! Fukuza huyu Mzee haraka sana! Huyu jamaa kaz yake imeisha! Haiwezekan kuharib CHAMA ambacho kimebeba wanachama wengi tena vjana
 
Lowasa ilikua ni kete ya ikulu kwa wakati ule ila kosa la chadema ni kutofikiri ikiwa atakosa urais hatma ya chama itakua je. Siasa za upinzani Lowasa hazijui na wala kujenga hoja yoyote iwe ya kisiasa, kiuchumi ama kijamii hawezi kabisa. Lowasa ni mtu tu aliyetokea kupendwa na watu bila hata kujua alichokifanya apendwe ni kipi. Alikutana na chadema taaasisi iliyokuwa imejengwa juu ya msingi wa nidhamu ya hali ya juu. Kiasi kwamba hali ya kiuadilifu na mshikamano wa chadema vilimfunika na kumpa joto la kubakia mwanasiasa wa juu japo ndani ya ccm alishatumpwa dustbin. Inawezekana kuonekana kama ujio wa lowasa chadema ulikua na manufaa lakini ukitizama kwa jicho la ndani ni kwamba chama kimekubali kupokea virusi vya ccm ambavyo ndivyo vinavyorudi ccm sasa hivi baada ya kukuta uongozi walioupata hauna tena pesa za deal. Virusi hivi vilikua vimezoea wizi na hata sasa japo vimebadili tu umbo kwa mda bado matumaini yao makubwa ni kupata unafuu wa maisha hadi mlango wa wizi utakapowafungukia tena. Hasara ya kimkakati na kimaadili iliyosababishwa na Ujio wa lowasa na wafuasi wake kwa upinzani ni kubwa sana.
Inaweza kuwa bahati kubwa sana kwa upinzani Lowasa kurudi ccm maana ile spirit ya upinzani wa kweli inayotaka kufa itarudi.
 
Lowasa akiwatosa CDM ndo itajirekebisha. Mbowe ni kimeo kingine pale
 
Siasa za bongo bwana bora kushabikia Mpira tu tushachoka sasa kila kukicha jambo jipya
 
Nadhani ataeleza alichoongea na raisi na atafafanua kwann kammwagia misifa mkulu....sipendi kuamini kuwa atahama chadema....japo ana uhuru wa kufanya hivyo anapoona inamfaa kufanya hivyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom