Tetesi: Edward Lowassa na Frederick Sumaye mbioni kurejea CCM

Naomba kuuliza kipindi unaandika ulikua aujatumia kilevi chochote kiongozi?
Kama aujatumia nakushauri nenda kweny meli ya wachina haraka sana unamatatizo ya dish kucheza
 
...
Mimi nasema wasiwe wepesi kukubali ujio wa Lowasa. Ni vema tukafunga gate valve ili asiruhusiwe kurejea tena chamani. Ameshaivuruga CHADEMA na sasa anataka kurejea tena CCM na kutuvuruga. Nasikia anataka kurejea kabla ya uchaguzi wa ndani wa CCM ngazi ya Taifa. Tusisuhusu jinamizi likatukumba tena ndani ya CCM.
Ukishalifungia jini kwenye chupa tupa huko baharini wakaokote wenye bahati mbaya.
 
Wadau, amani iwe kwenu,

Ni dhahiri kwamba Lowassa na Sumaye hawana amani ndani ya CHADEMA. Hawana dira wala mwelekeo. Kila wanalopanga halipangiki na CHADEMA hakionekani kuwa chama chenye mwelekeo wa kushika dola.

Kamera ya Lizaboni imenasa kikao cha mkakati wa Lowassa kutaka kujiengua na CHADEMA na kurejea CCM. Kwa sasa anaendelea na mazungumzo makali na baadhi ya wafuasi wake waliobaki CCM ambao wamemgomea kwenda upinzani. Kilichomshtua zaidi Lowassa ni hili wimbi la sasa lililoshika kasi la viongozi na wafuasi wa chama ambao aliona kuwa ni kimbilio lake wakimkimbia na kujiunga na CCM.

Je, viongozi wangu watampokea Lowassa? Mimi nasema wasiwe wepesi kukubali ujio wa Lowassa. Ni vema tukafunga gate valve ili asiruhusiwe kurejea tena chamani. Ameshaivuruga CHADEMA na sasa anataka kurejea tena CCM na kutuvuruga. Nasikia anataka kurejea kabla ya uchaguzi wa ndani wa CCM ngazi ya Taifa. Tusiruhusu jinamizi likatukumba tena ndani ya CCM.
cdm imekosa dira
 
Hiyo ni sawa unaota usiku una mamilioni then unaamka asubuhi huna hata mia
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri kwamba Lowasa na Sumaye hawana amani ndani ya CHADEMA. Hawana dira wala mwelekeo. Kila wanalopanga halipangiki na CHADEMA hakionekani kuwa chama chenye mwelekeo wa kushika dola.

Kamera ya Lizaboni imenasa kikao cha mkakati wa Lowasa kutaka kujiengua na CHADEMA na kurejea CCM. Kwa sasa anaendelea na mazungumzo makali na baadhi ya wafuasi wake waliobaki CCM ambao wamemgomea kwenda upinzani. Kilichomshtua zaidi Lowasa ni hili wimbi la sasa lililoshika kasi la viongozi na wafuasi wa chama ambao aliona kuwa ni kimbilio lake wakimkimbia na kujiunga na CCM.

Je, viongozi wangu watampokea Lowasa? Mimi nasema wasiwe wepesi kukubali ujio wa Lowasa. Ni vema tukafunga gate valve ili asiruhusiwe kurejea tena chamani. Ameshaivuruga CHADEMA na sasa anataka kurejea tena CCM na kutuvuruga. Nasikia anataka kurejea kabla ya uchaguzi wa ndani wa CCM ngazi ya Taifa. Tusisuhusu jinamizi likatukumba tena ndani ya CCM.
sina shida na Lowasa, arudi tu kwa sababu alienda kujaribu bahati yake, na kama siyo ccm kumteua Magufuri tungekuwa tunaongea habari nyingine labda
Mimi mtu simpendi na hata akiomba kurudi ccm asipokelewe ni Mr Ziro Sumaye! Hadi leo hajui alifuata nini upinzani
 
Dr Shika! kwikwikwikwiiii
 
Wadau, amani iwe kwenu,

Ni dhahiri kwamba Lowassa na Sumaye hawana amani ndani ya CHADEMA. Hawana dira wala mwelekeo. Kila wanalopanga halipangiki na CHADEMA hakionekani kuwa chama chenye mwelekeo wa kushika dola.

Kamera ya Lizaboni imenasa kikao cha mkakati wa Lowassa kutaka kujiengua na CHADEMA na kurejea CCM. Kwa sasa anaendelea na mazungumzo makali na baadhi ya wafuasi wake waliobaki CCM ambao wamemgomea kwenda upinzani. Kilichomshtua zaidi Lowassa ni hili wimbi la sasa lililoshika kasi la viongozi na wafuasi wa chama ambao aliona kuwa ni kimbilio lake wakimkimbia na kujiunga na CCM.

Je, viongozi wangu watampokea Lowassa? Mimi nasema wasiwe wepesi kukubali ujio wa Lowassa. Ni vema tukafunga gate valve ili asiruhusiwe kurejea tena chamani. Ameshaivuruga CHADEMA na sasa anataka kurejea tena CCM na kutuvuruga. Nasikia anataka kurejea kabla ya uchaguzi wa ndani wa CCM ngazi ya Taifa. Tusiruhusu jinamizi likatukumba tena ndani ya CCM.
Sisiemu ya JK sikuipenda sababu ya watu kama lowassa na niliaminishwa sana ma watu wa ndani na nje ya sisiemu kuwa ni fisadi, chadema ikiwa mstari wa mbele!
Kwa kweli kukinusuru chama, wasimpokee yeye wala sumaye.
 
WEWE NI UCHUMIA TUMBO NDIYO UNAKUSUMBUA NA LAANA YA KUTAFUTIA KUTEGEMEA NA KUCHUMIA TUMBO....NA MZIDI KULAANI KWA KUTEGEMEA VIUNGO VYA MWILI NA WANA WA ADAM ILI MUISHI NA WATU WOTE WASEME AMINA.
Ktk watu wa humu jf sio wa kuwabeza wanapoleta flash news, mleta uzi ni mmoja wapo!!
 
Wadau, amani iwe kwenu,

Ni dhahiri kwamba Lowassa na Sumaye hawana amani ndani ya CHADEMA. Hawana dira wala mwelekeo. Kila wanalopanga halipangiki na CHADEMA hakionekani kuwa chama chenye mwelekeo wa kushika dola.

Kamera ya Lizaboni imenasa kikao cha mkakati wa Lowassa kutaka kujiengua na CHADEMA na kurejea CCM. Kwa sasa anaendelea na mazungumzo makali na baadhi ya wafuasi wake waliobaki CCM ambao wamemgomea kwenda upinzani. Kilichomshtua zaidi Lowassa ni hili wimbi la sasa lililoshika kasi la viongozi na wafuasi wa chama ambao aliona kuwa ni kimbilio lake wakimkimbia na kujiunga na CCM.

Je, viongozi wangu watampokea Lowassa? Mimi nasema wasiwe wepesi kukubali ujio wa Lowassa. Ni vema tukafunga gate valve ili asiruhusiwe kurejea tena chamani. Ameshaivuruga CHADEMA na sasa anataka kurejea tena CCM na kutuvuruga. Nasikia anataka kurejea kabla ya uchaguzi wa ndani wa CCM ngazi ya Taifa. Tusiruhusu jinamizi likatukumba tena ndani ya CCM.
HAKUNA KITU KAMA IKO
muga.jpg
 
Mkuu
Lizaboni
ulipotea sana sana Mkuu Daaaa Mpaka tukasema jamani nani wa kutupa update tena kumbe upo na habari zako motomoto
Usipotee sana Mkuu...
 
Wadau, amani iwe kwenu,

Ni dhahiri kwamba Lowassa na Sumaye hawana amani ndani ya CHADEMA. Hawana dira wala mwelekeo. Kila wanalopanga halipangiki na CHADEMA hakionekani kuwa chama chenye mwelekeo wa kushika dola.

Kamera ya Lizaboni imenasa kikao cha mkakati wa Lowassa kutaka kujiengua na CHADEMA na kurejea CCM. Kwa sasa anaendelea na mazungumzo makali na baadhi ya wafuasi wake waliobaki CCM ambao wamemgomea kwenda upinzani. Kilichomshtua zaidi Lowassa ni hili wimbi la sasa lililoshika kasi la viongozi na wafuasi wa chama ambao aliona kuwa ni kimbilio lake wakimkimbia na kujiunga na CCM.

Je, viongozi wangu watampokea Lowassa? Mimi nasema wasiwe wepesi kukubali ujio wa Lowassa. Ni vema tukafunga gate valve ili asiruhusiwe kurejea tena chamani. Ameshaivuruga CHADEMA na sasa anataka kurejea tena CCM na kutuvuruga. Nasikia anataka kurejea kabla ya uchaguzi wa ndani wa CCM ngazi ya Taifa. Tusiruhusu jinamizi likatukumba tena ndani ya CCM.

Hongera zao hata kesho wahamie tu ni haki yao ya msingi kabisa
 
Naona Leo liziki imeingia maana buku saba si haba.
 
Huwa naamini sana information zako. Tunakumbuka wakati wa uchaguzi uliwaacha watu midomo wazi.
 
Back
Top Bottom