Tetesi: Edward Lowassa na Frederick Sumaye mbioni kurejea CCM

Naomba kuuliza kipindi unaandika ulikua aujatumia kilevi chochote kiongozi?
Kama aujatumia nakushauri nenda kweny meli ya wachina haraka sana unamatatizo ya dish kucheza
 
Ukishalifungia jini kwenye chupa tupa huko baharini wakaokote wenye bahati mbaya.
 
cdm imekosa dira
 
Hiyo ni sawa unaota usiku una mamilioni then unaamka asubuhi huna hata mia
 
sina shida na Lowasa, arudi tu kwa sababu alienda kujaribu bahati yake, na kama siyo ccm kumteua Magufuri tungekuwa tunaongea habari nyingine labda
Mimi mtu simpendi na hata akiomba kurudi ccm asipokelewe ni Mr Ziro Sumaye! Hadi leo hajui alifuata nini upinzani
 
Dr Shika! kwikwikwikwiiii
 
Sisiemu ya JK sikuipenda sababu ya watu kama lowassa na niliaminishwa sana ma watu wa ndani na nje ya sisiemu kuwa ni fisadi, chadema ikiwa mstari wa mbele!
Kwa kweli kukinusuru chama, wasimpokee yeye wala sumaye.
 
WEWE NI UCHUMIA TUMBO NDIYO UNAKUSUMBUA NA LAANA YA KUTAFUTIA KUTEGEMEA NA KUCHUMIA TUMBO....NA MZIDI KULAANI KWA KUTEGEMEA VIUNGO VYA MWILI NA WANA WA ADAM ILI MUISHI NA WATU WOTE WASEME AMINA.
Ktk watu wa humu jf sio wa kuwabeza wanapoleta flash news, mleta uzi ni mmoja wapo!!
 
HAKUNA KITU KAMA IKO
 
Mkuu
Lizaboni
ulipotea sana sana Mkuu Daaaa Mpaka tukasema jamani nani wa kutupa update tena kumbe upo na habari zako motomoto
Usipotee sana Mkuu...
 

Hongera zao hata kesho wahamie tu ni haki yao ya msingi kabisa
 
Naona Leo liziki imeingia maana buku saba si haba.
 
Huwa naamini sana information zako. Tunakumbuka wakati wa uchaguzi uliwaacha watu midomo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…