Elections 2015 Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni...


kaazi imeanza. huyo kijana wa kisomali bila shaka ni Hussein Bashe na huyo mhariri ni Absalom Kibanda
 

Magufuli nae ni mulemule. Watu wana data za madudu aliyoyafanya wizarani.. Hana uwezo wa kuwa final striker. Anajitajidi kidogo ila anatakiwa kuwa nyuma ya mshambuliaji wa mwisho. (samahani kwa kutumia football language)
 

Umejibu kwa panic sana!
 
hivi nchi hii ni Lowassa ndiyo kaumbwa rais? je siku akifa hakuna mtu mwingine anayeweza? hebu tuwe na hekima kidogo kiongozi makini uwekwa na watu ajiweki mwenyewee Mungu akipanga hakuna wa kupangua
 
halafu kweli mtanzania mzalendo anaweza kufikiria kuwasapoti akina Andrew Chenge Nazir Karamagi AbdulAziz Bashe Peter Serukamba nk siamini mtu makini mzalendo aliye na uchungu na nchi hii km anaweza kushirikiana na hiyo team watu makini wanaondoka moja baada ya mwingine.
 
Pasco. Heshima mbele ong'wise.

kwanza tuhakikishie pasipo na shaka kuwa kilichomtokea mzee ngoyai si tu 'ajali ya kisiasa' bali ni 'chezo'.
 
Last edited by a moderator:
Pasco. Heshima mbele ong'wise.

kwanza tuhakikishie pasipo na shaka kuwa kilichomtokea mzee ngoyai si tu 'ajali ya kisiasa' bali ni 'chezo'.
Adhabu imemalizika, watu wametoka kifungoni jee chezo linaendelea au watu tujikusanye na kujipanga kuianza safari?!.

Pasco
 
Adhabu imemalizika, watu wametoka kifungoni jee chezo linaendelea au watu tujikusanye na kujipanga kuianza safari?!.

Pasco

tujiandae na safari ya jehanam. safari ya matumaini alikuwa nayo nyerere peke yake waliopita wameangusha gari ya ccm. sasa ni zamu ya ukawa yenye dreva makini wengine tupa kule nyuma wawe utingo.
 
Haya shime wajemeni, nia imetangazwa, safari ya matumaini ndio imeanza!, kwenye safari hoja ya msingi sio kuanza kwa safari bali kufika kwenye destination haswa kwa kuzingatia kutanguli sii kufika!.

Pasco
 
Haya shime wajemeni, nia imetangazwa, safari ya matumaini ndio imeanza!, kwenye safari hoja ya msingi sio kuanza kwa safari bali kufika kwenye destination haswa kwa kuzingatia kutanguli sii kufika!.

Pasco

Hatuhitaji SAFARI YA MATUMAINI TUNAHITAJI SAFARI YA UHAKIKA.
Watanzania tutaishi kwa matumaini hadi lini?
 
Hatuhitaji SAFARI YA MATUMAINI TUNAHITAJI SAFARI YA UHAKIKA.
Watanzania tutaishi kwa matumaini hadi lini?
Safari ni hatua, kabla haujapata uhakika wa safari, unatanguliza nia ya kufanya safari, sababu ya safari hiyo ndio matumaini ya safari yako ndipo kisha sasa unatafuta uhakika!.

Lowassa kaweka nia, ana matumaini ya kuondoa Tanzania hii hapa tulipo na kuipeleka kwenye dimensions nyingine. Safari ndio imeanza kuelekea kwenye uhakika wa safari hiyo ambao utatolewa na vikao vya juu vya Chama!.

Pasco
 
Wakati wenyewe wanaanza vikao vyao Dodoma, mimi nafanya merejeo ya hii kitu!.
Pasco
 
Hii inaitwa trends kwenye numerology!.
Ni liandikwalo tuu ndilo liwalo!, kama hlijaandikwa, haliwi!.
Pasco.
Lowasa alishawahi kukusaidia kwenye mishemishe zako kule mamtoni-ITALY?, kwa hiyo si kweli kwamba hamfahamiani kabisa
 
Lowasa alishawahi kukusaidia kwenye mishemishe zako kule mamtoni-ITALY?, kwa hiyo si kweli kwamba hamfahamiani kabisa
nisome tena

Pasco
 
Mkuu Pasco kuna jambo moja umepungukiwa, nalo ni kumsigizia Mungu kwamba atatupangia raisi watz! Nakiri wazi kwamba hili hulitambui kwamba watz hawatapata raisi aliechaguo la Mungu!

Ni dhahiri shahiri kwamba raisi wetu anapangwa na wenye hela na kupitishwa kwa nguvu na tume ya uchaguzi! Haitokaa itokee kwamba watz wampate raisi wa chaguo la Mungu ikiwa tume ya uchaguzi itabaki ile ile na watu wenye hela kafanya maovu bila kuadhibiwa!

Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, kila mtz ameshuhudia mbwembwe za akina Edward na hela wanazomwaga ili waingie ikulu, je kwa strategy hii tuiite ni chaguo la Mungu?

Nitaamini kuwa ni chaguo la Mungu pale watz watakapoacha njaa na kuwaza kwa mapana miaka 30 ijayo! Maana mustakabali wa miaka 30 ijayo unategemea maamuzi yetu leo!

Mzee Pasco nakuheshim sana, ila kubali kataa sio Lowasaa wala CCM watakaoleta changes ndani ya hii nchi! CCM inatakiwa ikae pembeni kidogo, ione mapungufu na udhaifu wa serikali wanayosimamia, maana kuna uwezekano mkubwa kwamba hawaoni tatizo lao na la watanz kwa ujumla.

Haiwezekan nusu karne ya uhuru, bado wanafunz wetu wanakalia mawe, haiwezekani nusu karne ya uhuru, TZ haijaweza kujtegemea kiuchumi! Mbaya zaidi kuna misamaha ya kodi ya thamani ya trillion moja kwa mwaka, na bado watu tunakaa kimya!!

Mkuu Pasco, tambua CCM ni mfumo, and body within the party can change it! Nchi hii inahitaji maamuzi magum kutoka kwa watz na sio kwa wanasiasa kama wanavyojitapa! Hainiingii akilin mtu anatangaza nia anasema eti atapambana na "ufisadi" wakati alikua na uwezo wa kufanya hivyo from the beginning, kwa nini hakufanya asubiri kuwa raisi!? Huu ni unafiki uliopitiliza na dharau kwa watz!

Ninachowasihi watz, wawapime wagombea wote na historia yao itazamwe kwa kina! Kipaombele cha kwanza kiwe uzalendo na huruma kwa watz! Mtu anakwapua billion 10 anajibu kwa kiburi kuwa ni hela ya mboga, and yet anataka kuwa mwakilishi wa wananchi. Nitashangaa na kusikitika sana nitakapomwona bunge lijalo karudi.

Tukiamua tunaweza, la msingi tuache njaa na kuwa watumwa kiakili!!

Regards to Pasco!
 
mungu wa watanzania hawezi kutupa rais mwizi na fisadi,kamwe,
 
Kanone una matatizo kweli ndugu na hii sheria iliopendekezwa ya habari mtajaa wengi keko na masegerea bazir mramba kahukumiwa jana tuu je lowasa yeye nani kama aliiba aachwe kwenye serikali hiii tuchunge midomo tusifate ushabiki tufanye tafiti za kuaminika ndipo tuongeee mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…