Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende na Lowasa kuuza nchi na vyote vilivyomo
Mimi nakwenda na huyu hapa.........View attachment 225266View attachment 225267
Bobani umenena sana BASHE NA GENGE LAKE WANATAKA KUUZA NCHI
Mwl. Nyerere,,,,,HAKUNA MTANZANIA ANAYE WEZA KUNUNUA WATU KABLA YA YEYE KUWA AMENUNULIWA.
We mburula kweli nimekosa cha kuandika kwani huoni nimesema kuwa Lowasa ni fisadi mimi siendi naye mie nahitaji kiongozi mzalendo na mwenye mipango ya kuwaletee maendeleo watanzania siyo fisadi kama Lowasa.
Ni ukweli ulio wazi bila kificho, kwa hali ilivyo sasa ukiweka unafikiri, uzushi, kejeli, matusi, kashfa pembeni Edward Lowassa ndiye chaguo la wengi isipokuwa wachache tu.
Kwa hali ilivyo, Lowassa ni raisi hata bila kuwepo na kupigiwa kura wala kampeni. Napredict BIG IMPACT endapo chama cha mapinduzi hakitampitisha kupeperusha bendera ya ccm.
Enyi ccm na wanaccm, mpetisheni Lowassa kwani ni chaguo la wananchi wengi bila kujali ushabiki wa vyama vyao. Hata wapinzani wanakiri hawana ubavu wa kupambana nae katika uraisi.
Twende na Lowassa 2015.com
nasikia ukimsifia EL unatumia pm na kuombwa namba ya mpesa alafu unatumiwa mshiko
Mkuu Ugonjwa wa Ukimwi, kwa taarifa yako, chaguo la Kikwete kwa rais ajaye, sio determinant ya nani atakuwa mgombea wa CCM 2015, bali ni persuasive tuu, Mwinyi hakuwa chaguo la Mwalimu, Mkapa hakuwa chaguo la Mwinyi!, Kikwete hakua chaguo la Mkapa!. Determinant ni "wale wapima upepo" kama nia ni CCM kupata ushindi wa kishindo, watapima upepo wananchi wanamtaka nani, jee ni mgombea gani atakayepatia ushindi wa kishindo, then watakielekeza chama ni fulani!.
2005, finalist walikuwa Dr. Salim, Prof. Mwandosya na Jakaya Kikwete, kama ni merits, uwezo, akili na usafi, JK ndie alikuwa mchavu, mzinzi, uwezo duni na kilaza!, lakini ndie aliyekuwa anapendwa, ana sura nzuri, anasmile vizuri, akapitishwa, wale waadilifi, wenye uwezo na briliant brains wakatupwa!. Ndio maana nikasema EL akatwe kwa haki, Ufisadi, Afya sio hoja, hoja ni kukubalika na uwezo tuu!.
Ukawa mpaka sasa hawana mgombea anayekubalika na atakayeuzika kwa urahisi, japo Chadema tayari chaguo lao ni Dr. Slaa, Chadewa wana mtihani mgumu kuwashawishi washirika wao CUF, ambao ni muslim fundamentalists na ma extremist kumkubali ex catholic priest!, CCM wakimtosa EL, akicross into Ukawa, that is the only way wapinzani watakanyaga ikulu ya magogoni na litimie lile neno la Mwalimu "Rais Bora atatoka CCM!", wasiwasi wangu kwa hili CCM inalijua, hivyo wakidhamiria kwa dhati kumchinjia EL baharini, hawatasubiri zoezi la uchukuaji fomu, aje kukipasua chama, watamshungulikia mapema kabla kuhakikisha EL akikatwa, there will be no EL wa ku cross to opposition!, EL nae hili analijua fika kuwa hawezi kuachwa hivi hivi ajiunge Ukawa!, kuliko CCM kumfia mkuu, bora huyo muuaji wa CCM atangulie yeye!, ndio maana EL amemuweka yule 'jamaa' kuwa Mwenyekiti wake wa mipango mkakati!.
Hili la afya mgogoro is just by the look of it with naked eyes, lakini unaweza kabisa kumquat in reality he is as fit as fiddle!, kama Lyatonga Mrema alivyosema jana, japo by the look of him, you can see he is a sick man, mwenyewe kasema haumwi, vyeti vipo, na kaahidi 'hafi mtu!".
Pasco
...Yule Aliyepangiwa na Mungu!.
Wanabodi,
2015 ndio hii, mimi ni miongoni mwa tuliojibainisha wazi, kumkubali Edward Lowassa as "The One and Only" Best President this country can ever have apart from Nyerere!. Hii haina manna Lowassa ndio lazima awe rais. Rais wa Tanzania kwa 2015 ni yule tuu, aliyepangiwa na Mungu, sio lazima awe ni Lowassa, ila kwa vile Mungu bado hajatuambia amempangia nani, kama aliepangiwa na Mungu ni Edward Lowassa, basi ni lazima awe yeye!.
Nakiri nimekuwa inspred kuandika mada hii, kufuaria mchango wa mwana jf huyu kwenye uzi fulani!
Mkuu So Notorious, kwanza nakubaliana na wewe, Pasco huyu unayemjua sasa ni mshereheshaji tuu wa maonyesho ya Saba Saba na Nanenane, kwa nyie watu wa kisasa. Pasco aliondoka rasmi newroom mwaka 2002 na tangu hapo hajawahi kuajiriwa tena, sasa amebaki kama Mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea. Sasa ili kumjua Pasco, rudisha mawazo yako mwaka 2002 ulikuwa level gani, na kuanzia hapo ndipo turudi nyuma!.
Pasco hajawahi kuwa spokesperson wa Lowassa, hajawahi kufanya kazi yoyote kwa Lowassa, hajawahi kuhudhuria press conference yoyote ya Lowassa, hajawahi kuandika au kuripoti news yoyote ya Lowassa na wala hajawahi kufika Monduli, au kuhudhuria zile sherehe maarufu za Monduli!.
Kitu pekee alichofanya Pasco humu jf, ni kumkubali Lowassa, katika ukweli dhahiri usio na mawaa yoyote kuwa ndani ya CCM, Edward Ngoyai Lowassa, ndie the one and only best presidential candidate CCM has, na ikitokea asipitishwe, then asipitishwe kwa haki, vinginevyo patachimbika!.
Hata hivyo kumkubali kwangu Lowassa, ni personal tuu, tena kwa kujitolea, siko Team Lowassa!, sijawahi kuwepo!, wala sijawahi kupokea hata senti moja kutoka kwa Lowassa!, hivyo hoja ya kumlamba mtu miguu kwangu haipo!, ningekuwa mlamba miguu, ningemlamba Mkapa ambaye mtoto wake nimesoma naye darasa moja sekondari kwa miaka minne!, wakati kwa wengine wote Mkapa ni rais, mimi nimekwenda kwake kama baba fulani!. Ningekuwa ni mtu wa kujikomba komba na kujipendekeza, ningejikomba kwa Riz 1, nimekutana nae UDSM na tunaiva sana, hivyo angenishika mkono anipeleke kwa mshure wake!, why nilambe miguu ya mtu?!. Mimi niko kwenye lile kundi la "Maskini Jeuri" kama kina "Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!".
Ila pia nina mtu wangu wa karibu kwenye Team Lowassa, hii ndio timu yenye mkono mrefu kuliko team nyingine yoyote so far!. Tatizo langu na timu hii ni moja tuu, hali ya Afya ya Mzee wetu!, kwa vile rais wa Tanzania 2015, ameishachaguliwa na Mungu, then, alilolipanga Mungu, binadamu hawezi kulipangua!, ndio maana kule nyuma Mungu aliwahi kufanya muujiza wa "Jiwe walilolikataa waashi likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!", na kuna mtu alielezwa kuwa "Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!", kwa Tanzania hapa tulipofika, tuna mwamba mmoja tuu, "Mwamba wa Kaskazini!"
Lazima awe!, na asipokuwa basi itakuwa Mungu hakumpangia!, hivyo atakayekuwa rais wetu, 2015, ni yule tuu Mungu aliyempangia!.
Wasalaam!.
Pasco.
Nakubaliana na ww Pasco asilimia mia. .. na ikitokea asipitishwe, then asipitishwe kwa haki, vinginevyo patachimbika!.-
hizo zote ni hisia na unadhani lowassa akitupwa na kwenda upinzani then ameshashinda ila nakukumbusha anaweza kwenda upinzani na ccm ikamsimamisha mtu anayekubalika kama magufuli ambaye naamini hata team lowassa wanajua ni kizingiti kwao. Na kosa kwenye kampeni za lowassa ni kudhani pesa pekee ndio muhimili wa kupata urais na kudhani akishapitishwa na ccm ndio kazi imeisha.
Naomba nikueleze siasa zimeshabadilika ccm lazima wawe na mgombea ambaye atawapa wabunge wa kutosha (anayekubalika kwa wananchi) na ukiangalia lowassa wapambe wake wengi ni waliochafuka kwenye maeneo wanayotoka kama akina chenge.
Hii inamaana wasipokuwa makini na kudhani wameshapata urais watajuta na utawala unaweza kumshinda kwani idadi ya wabunge ikiwa chache hataweza kutawala hapo ndio hasa magufuli amewazidi nguvu wengine kwani ndio mtu pekee ccm anayeweza kunadi wagombea na wakakubalika kwa wananchi.
Kitu kingine ni mfumo wa maisha yetu na fikra za wananchi huwa ni negative kwa matajiri, pale mtu anapojinadi ni tajiri tayari kwenye jamii anaonekana ni adui na mwizi hata kama ni pesa halali. Ukutaka kushinda kwenye siasa zetu kuwa mnyenyekevu kuliko kuonyesha utajiri
...Yule Aliyepangiwa na Mungu!.
Wanabodi,
2015 ndio hii, mimi ni miongoni mwa tuliojibainisha wazi, kumkubali Edward Lowassa as "The One and Only" Best President this country can ever have apart from Nyerere!. Hii haina manna Lowassa ndio lazima awe rais. Rais wa Tanzania kwa 2015 ni yule tuu, aliyepangiwa na Mungu, sio lazima awe ni Lowassa, ila kwa vile Mungu bado hajatuambia amempangia nani, kama aliepangiwa na Mungu ni Edward Lowassa, basi ni lazima awe yeye!.
Nakiri nimekuwa inspred kuandika mada hii, kufuaria mchango wa mwana jf huyu kwenye uzi fulani!
Mkuu So Notorious, kwanza nakubaliana na wewe, Pasco huyu unayemjua sasa ni mshereheshaji tuu wa maonyesho ya Saba Saba na Nanenane, kwa nyie watu wa kisasa. Pasco aliondoka rasmi newroom mwaka 2002 na tangu hapo hajawahi kuajiriwa tena, sasa amebaki kama Mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea. Sasa ili kumjua Pasco, rudisha mawazo yako mwaka 2002 ulikuwa level gani, na kuanzia hapo ndipo turudi nyuma!.
Pasco hajawahi kuwa spokesperson wa Lowassa, hajawahi kufanya kazi yoyote kwa Lowassa, hajawahi kuhudhuria press conference yoyote ya Lowassa, hajawahi kuandika au kuripoti news yoyote ya Lowassa na wala hajawahi kufika Monduli, au kuhudhuria zile sherehe maarufu za Monduli!.
Kitu pekee alichofanya Pasco humu jf, ni kumkubali Lowassa, katika ukweli dhahiri usio na mawaa yoyote kuwa ndani ya CCM, Edward Ngoyai Lowassa, ndie the one and only best presidential candidate CCM has, na ikitokea asipitishwe, then asipitishwe kwa haki, vinginevyo patachimbika!.
Hata hivyo kumkubali kwangu Lowassa, ni personal tuu, tena kwa kujitolea, siko Team Lowassa!, sijawahi kuwepo!, wala sijawahi kupokea hata senti moja kutoka kwa Lowassa!, hivyo hoja ya kumlamba mtu miguu kwangu haipo!, ningekuwa mlamba miguu, ningemlamba Mkapa ambaye mtoto wake nimesoma naye darasa moja sekondari kwa miaka minne!, wakati kwa wengine wote Mkapa ni rais, mimi nimekwenda kwake kama baba fulani!. Ningekuwa ni mtu wa kujikomba komba na kujipendekeza, ningejikomba kwa Riz 1, nimekutana nae UDSM na tunaiva sana, hivyo angenishika mkono anipeleke kwa mshure wake!, why nilambe miguu ya mtu?!. Mimi niko kwenye lile kundi la "Maskini Jeuri" kama kina "Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!".
Ila pia nina mtu wangu wa karibu kwenye Team Lowassa, hii ndio timu yenye mkono mrefu kuliko team nyingine yoyote so far!. Tatizo langu na timu hii ni moja tuu, hali ya Afya ya Mzee wetu!, kwa vile rais wa Tanzania 2015, ameishachaguliwa na Mungu, then, alilolipanga Mungu, binadamu hawezi kulipangua!, ndio maana kule nyuma Mungu aliwahi kufanya muujiza wa "Jiwe walilolikataa waashi likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!", na kuna mtu alielezwa kuwa "Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!", kwa Tanzania hapa tulipofika, tuna mwamba mmoja tuu, "Mwamba wa Kaskazini!"
Lazima awe!, na asipokuwa basi itakuwa Mungu hakumpangia!, hivyo atakayekuwa rais wetu, 2015, ni yule tuu Mungu aliyempangia!.
Wasalaam!.
Pasco.
Unajikanganya Pasco, wewe hela ya lowassa ushawahi kula au bado? Unasifia mtu wako muhimu kuwepo kwenye timu yenye hela, then eti hujawahi kuila hiyo hela, how?
Usitufanye watoto kaka!!
Mkuu Tuntemeke, kati uhuru zote, uhuru ambao ni absolute free, hauna mipaka, wewe unakuwa uko huru kufikiri chochote na hakuna mwenye uwezo wa kuuingilia uhuru huo wa kufikiri only if kama fikra hizo you can just keep them for yourself, ukiishaamua kusema, unageuka ni freedom of expression, uko huru kusema chochote, ili mradi uwe na uhakika wa unachokisema vinginevyo ni kuropoka!, na hii ndio faida ya jf, uko huru to express you thoughts hata kama ni uongo, utunzi, uzushi, ngojera etc, be free!.Mkuu;
Anadhani hatufanyi records za comments & mishauo yake.
Watu ni Vichwa Vya Panzi kwelikweli. Na hapo umemkaba sharubu vizuri sana.
Bravo!
Mkuu Tuntemeke, kati uhuru zote, uhuru ambao ni absolute free, hauna mipaka, wewe unakuwa uko huru kufikiri chochote na hakuna mwenye uwezo wa kuuingilia uhuru huo wa kufikiri only if kama fikra hizo you can just keep them for yourself, ukiishaamua kusema, unageuka ni freedom of expression, uko huru kusema chochote, ili mradi uwe na uhakika wa unachokisema vinginevyo ni kuropoka!, na hii ndio faida ya jf, uko huru to express you thoughts hata kama ni uongo, utunzi, uzushi, ngojera etc, be free!.
enjoy your freedom in jf, seam chochote kuifurahisha nafsi yako!.
Pasco
Mkuu Shark, ukweli ndio huo!, ni kweli team EL sio ina hela, bali in a mihela!, na mimi lazima nikiri, Pasco ni masikini wa kutupa!, ila kuna aina mbalimbali za masikini, na fedha sio kila kitu!, mimi ni ile type ya masikini tunaitwa masikini jeuri!, yaani ninakaa na jirani tajiri, jirani yangu anatupa mkate jalalani nje kwangu, huku mimi sina chakula kabisa!, kuliko kuuokota huo mkate, ni bora nitalala na njaa yangu. Sisi ndio tunaitwa masikini jeuri!, nilikuwa na access na Mkapa, ningemtumia kutoka, lakini sijamtumia!, nina access na JK, simtumii, naendelea na maisha yangu kwenye lindi la umasikini wa kutupa uliotopea, but I'm happy kuliko kuwa ombaomba tajiri!.
Watu wa aina yangu tupo, tena tupo wengi tuu!.
Pasco.