Elections 2015 Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni...

Elections 2015 Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni...

Jamaa wasipokuwa makini na uteuzi wao hakika patachimbika.
Ni vyema wakasoma alama za nyakati kwani muda bado upo.
Kikubwa pasiwe na vikwazo eti sijui kamati ya maadili na mengine,cha kufanya ni kuwaacha wanachama wao wawe huru katika harakati zao.
 
Anafaa sana, kwani nyie mnaosema ni fisadi kama mnafahamu siasa ya nchi hii mleteni msafi hapa mnaodhani hana doa.
 
Kawambie watu wako Rais mwenye hashima kesha patikana mwisho rais mhuni ni huu, To hell with your Lowassa
 
CCM ina Rais yupi mwenye heshima Ebaeban?Mnachomhofia EL ni nn na kwani kishatangaza nia? Wajadilini waliokwisha tangaza nia au kwa kuwa mnahisi wanapoteza muda ndo mana macho yamewatoka kwa hili jembe!
 
Wakipitisha Lowassa basi huo utakuwa mwanzo wa mwisho wa CCM. Mtu pekee anayekubalika mijini na vijijini ni JP Magufuli. Vinginevyo CCM jiandaeni kumkabidhi Dr Silaa funguo za Magogoni
 
Wakipitisha Lowassa basi huo utakuwa mwanzo wa mwisho wa CCM. Mtu pekee anayekubalika mijini na vijijini ni JP Magufuli. Vinginevyo CCM jiandaeni kumkabidhi Dr Silaa funguo za Magogoni
Mkuu nakubaliana na wewe magufuli yuko vizuri kwa kila kitu Lowasa kwa ufisadi wake ule hapana hatufai.
 
nasikia ukimsifia EL unatumia pm na kuombwa namba ya mpesa alafu unatumiwa mshiko
 
Hao waliosema ni akina Mr clean na professa jk waliifanyia nini nchi. Zaidi zaidi ufisadi ulitamalaki. Potelea mbali kama hapo mliowaita wasafi na wala wasio na DOA wameshindwa kufanya LA maana. Ni heri kuwa na raisi tusiye na matumaini naye. Kuliko kuwa na maraisi wanaoleta matumaini fake. Hao mnaosema ni smart na wapo safi wamefanya lipi LA maana katika nafasi zao. Magufuli si kiongozi kihivyo. Muulize kwamba mwaka 2013 amefanya mabadiliko ya sheria ya barabara na kuongeza ukubwa wa Barabara kwa mita 20 kila upande kutoka inapoishia Barabara mkuu. Na ukumbuke mwanzo ukubwa au upana wa eneo LA Barabara alikuwa mita 15. Baada ya sheria kupita tayari wamekwenda kuhamisha mpaka wa Barabara kwa kuongeza mita tano zilizoongezeka. Tatizo ni kwamba hakuna aliyefanyiwa tathmini kabla ya kuhamisha hayo mawe ya mipaka na Leo ni mwaka wa pili? Je hii ndio sifa ya kwamba anafuata sheria. Kwanini hafanyi tathmini ya maeneo ya watu yaliyoiingiliwa na Barabara baada ya mabadiliko ya sheria ya Barabara? Au ndio anataka kuwaonea watanzania? Magufuli na wafuasi wake mjibu hoja hii?!
 
Huyu hasafishiki hata kwa Jik....ufisadi wake na ghalama anazotumia kuhonga na kupata support ndani ya CCM inaleta Simanzi Sana...
Kwanini atake kuingia Ikulu kwa ghalama hivi?Tunahitaji muadilifu na mchukia ufisadi.Mtu anaejinasibu kwa uadilifu na uchapakazi.
Ndani ya CCM hatuchagui tu Rais bali mwenyekiti wa chama...atakayesimamia nidhamu ndani ya Chama,kwetu MTU sahihi ni Steven Massatu Wassira
 
Back
Top Bottom