TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Wagombea Urais wa 2015 wale top wote wamefariki.

Kumbe sio Magufuli tu, Urais angeshinda Lowassa au Membe bado tungerudi kati huku bendera nusu mlingoti

Umeongea vema ila Lowasa was one of those genius . Lowasa asingekufa kama sio kusalitiwa. Baada ya usaliti alidevelop stress snaa and he was tired na wanadamu

Jamaa Ana hekima na busara. N kiongozi pekee ambae Ana mahusiano ya Ndoa yanaeleweka na familia moja tu

Sio wengine wanakuwa marais huku walishaawhwa au kuacha
Wengine watoto wa nje na wake zaidi ya 1
 
RIP LOWASA KILA MTU ATAPITUA NJIA HIYO
 
Rais Samia Suluhu ametangaza siku tano za maombolezo kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.

Aidha, bendera zitapepea nusu mlingoti kuanzia leo Februari 10, 2024 kwa siku tano mfululizo.

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa (70) amefariki dunia leo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, (JKCI) Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

________

Hizi ni salamu za pole kutoka kwa Rais Samia kwa Watanzania na familia ya Lowassa,




VIDEO: MAKAMU WA RAIS AKITANGAZA TAARIFA YA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU, EDWARD LOWASSA
Your browser is not able to display this video.



Written by Mjanja M1 ✍️
 
Ameumaliza Mwendo apumzike pahala pema anapostahili.

Poleni sana wafiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…