Lowasa angejiuzulu?! Au unataka kusemaje!Kwa hiyo kumbe hata kama Rais angekuwa Lowassa stilll makamu angekuja kuwa Rais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowasa angejiuzulu?! Au unataka kusemaje!Kwa hiyo kumbe hata kama Rais angekuwa Lowassa stilll makamu angekuja kuwa Rais.
Nimekuelewa sana.Na hiki ndicho hasa mkuu kilichofanya niandike shida siyo kujua kiingereza ofcourse kujua kiingereza kwa ufasaha ni vizuri
Lakini shida inakuja pale anayekijua kwa ufasaha anapojiona ana akili kumzidi asiyekijua vizuri ndipo wanapokosea hapo wabongo
Kilichofanya niwajibu ni namna walivyomkosoa aliyekosea kwa kumuona kama vile hana akili na wao ndiyo wanazo zaidi yake
Nashukuru kuwa umeelewa alichoandika...kukosea kwake ndio njia ya kujifunza. Sio jambo la kushupaliaIf anyone Dislike or hate Lowassa? Very poor english grammar! Ungesema If anyone dislikes or hates Lowassa.....Kwa nini usingeamua kuandika tu kwa kiswahili? Hapa tuna kazi na lugha ya Malkia jamani, ukute hapo una digrii na upupu wote huu! Dah!
Hawa watu wamefoji miaka yao siamini hata kdgKikwete ni mkubwa kwa Lowasa, hayo mamvi yasikutishe, umemuona mwanaye Freddy? Ameshazeeka tayari, ni pesa tu ndio zimewasaidia.
Duh; na urais ukaota mbawa!Siasa bwana! Nikikumbuka 2015 pale Sumbawanga fomu ya EL ukisaini ulikuwa unapewa cash money 250,000.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]English is just a language not a measure of intelligence! Watu kama kina Messi hadi leo kiingereza kinawapiga chenga wanaongea broken but look at where they are!
Na wala hakuna anayewacheka kwanini hawajui kiingereza ila akikosea Samatta wabongo tunamcheka kuwa hajui! Lakini wengi wa wanaomcheka wamemzidi nini na kiingereza chao!
Wabongo tuache kujiona tuna akili kisa tunajua sana kiingereza wakati wengi wa wanaokijua hakuna kinachowasaidia! Kwa mtazamo kama wako bado tuna safari ndefu sana asee!
Hata Leigwanan akiondoka ameuthibishia Ulimwengu kuwa zile Pushapu za Magufuli huku akiwa na Moyo wenye betrii zikuwa ni kuwahadaa Watanzania.ICU chumba kigumu hicho .
Kwahiyo mkuu unataka kusema shule zote nchini zinafundisha kwa kiingereza? Kwa exposure ya Messi utasema hadi leo asijue kiingereza kweli?
Wakati huko Argentina aliondoka muda mrefu! Wakati Samatta amesoma shule za Kayumba akaingia moja kwa moja kwenye mpira hicho kiingereza angekijulia wapi?
My point is usijivunie kujua kiingereza wakati hakuna kilichokusaidia! Na wala siyo kwamba kujua kiingereza ndiyo kipimo cha akili ya mtu hilo halipo wala tusijidanganye!
Haya tuache mifano ya watu binafsi tuje kwenye nchi. Angalia China kule kiingereza hawakijua na hawakipendi ila angalia level yao ya maendeleo na lugha yao inavyoheshimika!
Halafu angalia nchi kama Kenya ambao wanajivunia kujua kiingereza! Yaani wanakihusudu kiasi kwamba wanatubeza watanzania na kuona kama wote hatukijui lakini wako wapi!
Tatizo liko hapo mlipomkosoa kwa kumuona kama vile hana akili na kuona ninyi ndiyo mna akili zaidi yake ndiyo nikawaambia kiingereza ni lugha tu wala siyo kipimo cha akili! Na tukumbuke siyo kila mtu anahitaji fursa huko nje ya mipaka kuna watu kiingereza kinawapiga chenga lakini wana akili na wana pesa kuzidi hata wengi wa hao wanaokijua na wakati ni masikini!Vyuo vyote Tanzania vinafundisha kwa Kiingereza. Hakuna aliyefikia ngazi ya taaluma bila kusoma kwa kiingereza. Dunia nzima watu walioendelea wanahakikisha wanakijua kiingereza hata kama ni lugha yao ya tatu.
Usione Wachina hawaongei kiingereza ukafikiri hawakijui. Unafikiri wanazurura dunia nzima na kichina tu? Wakongo wanakuja Afrika Mashariki na kifaransa halafu wanajiongeza kwa kiingereza na kuboresha Kiswahili chao. Lugha za kigeni ni nyenzo muhimu kwa mtu anayesaka fursa duniani. Haina politiki za kijinga kama hizi za bongo za “kuenzi Kiswahili” pekee!
Ni aibu kwa Mtanzania anayesoma taaluma yake kwa kiingereza kushindwa kukitumia. Halafu huyo jamaa unayemtetea kashauriwa aandike kwa Kiswahili anachokijua vizuri. Tatizo liko wapi?
Sawa kabisa. Sio sisi tu . Afrika hasa mashariki na Kusini ni hivyo hivyo. Tena wenzetu wakiwa nyumbani ni lugha za kikabila tu kama: kichaga, kihaya, kisukuma, kiha, n.k. Lakini hawajilegezi kwenye kujiongeza kwenye kiingereza hata wa primary schools.Lugha yetu ni kingereza lakini tunayo mazoezi ya kuongea ya kutosha?. Nigeria mtoto akitoka darasani anaendelea kuongea kingereza ndani ya basi na akifika nyumbani ni kingereza.
Sisi hatuko hivyo, ukitoka shuleni kwenye kingereza unakutana na kiswahili njia nzima mpaka nyumbani.
JK akamjulie hali....alimdhuru mwenzake kwa hila na dhuluma kwenye nafasi ya uongozi wa tanzaniaWakuu,
Kwa taarifa za uhakika, Waziri Mkuu wa zamani, Ndg. Edward Lowassa ni mgonjwa na amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
Tulipoteza wa kutuongoza kwa manufaa ya familia hizi kikwete-riziwani,membe,January makamba, nape mnauye na wengine walijitumbukiza ushabiki wasioujuaTunamuombea uponyaji..kichwa cheupe..njia ya ikulu nyeupe..bila goli la mkono la akina nape huyu ndio angekua ikulu..
Lowassa mabadiliko..mabadiliko lowasa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha Unafiki wewe mbona mlimtukana sana wakati wa Uchaguzi 2015 mkimpigani Mpiga Push Up Eti Ikulu sio ICU leo Yuko wapi yule MZIMA?Dhambi ya kumtukana Mtakufa nayo labda mkamwombe Msamaha hospitalNamtakia apone haraka Mzee Huyu mwenye busara ZAKE
USSR