Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa kazi ya Rais Jakaya Kikwete yeye ndiye alifanikisha miradi yote iliyotekelezwa akiwa madarakani.Mm nilishituka kidogo nilipo ona hili jina Nika SEMA nini tena......
Atakumbukwa Kwa kutuletea na kusimamia kujengwa shule za kata nchi nzima na chuo kikuu dodoma...Mzee wa maamuzi magumu..
Chenga ya Edo kwa mzee ,mesi na Pele watoke nyumaMzee Malecela hakuwahi kumsamehe Edo kwa hili pigo takatifu la chembe ya moyo
Edward Ngoyai Lowassa (amezaliwa Agosti 26, 1953) ni mwanasiasa Mtanzania ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia 2005 hadi 2008, akihudumu chini ya Rais Jakaya Kikwete. Lowassa ameingia katika rekodi ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kulazimishwa kujiuzulu kutokana na kashfa ya utapeli katika historia ya Tanzania.View attachment 2478209
Acha hoja za kitoto sasa ulitaka hatua gani zichukuliwe na nani kama watu waliamua kuuza Mali zao.Ni nani alithibitisha? Na hatua gani zilichukuliwa?
Cord?Mshana Jr kuna nini ukaleta huu uzi kinamna hii?,izo cord zenu zingine mnapiga pini sana muwe mnalegeza kidogo izo cord.
Kuna kitu nilikuwa na google leo wala hakihusiani naye, katika suggestion moja ilikuja ya huyu jamaa na maneno kadhaa. Nikasema mbona sijapata taarifa.Edward Ngoyai Lowassa (amezaliwa Agosti 26, 1953) ni mwanasiasa Mtanzania ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia 2005 hadi 2008, akihudumu chini ya Rais Jakaya Kikwete. Lowassa ameingia katika rekodi ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kulazimishwa kujiuzulu kutokana na kashfa ya utapeli katika historia ya Tanzania.View attachment 2478209
Jifunze kufanya mijadala ya JF.. Jibu hoja kwa hoja na sio virojaAcha hoja za kitoto sasa ulitaka hatua gani zichukuliwe na nani kama watu waliamua kuuza Mali zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa kazi ya Rais Jakaya Kikwete yeye ndiye alifanikisha miradi yote iliyotekelezwa akiwa madarakani.
kabadilishe pampersSiyo kweli, ilikuwa ni Mkapa (RIP) fedha zilitoka baada ya Tanzania kusamehewa madeni, Shule za Kata na Zahanati zote ni kazi ya Mkapa, Kikwete alijenga udom , …
kabadilishe pampers
Jitahidini kuwapa sifa watu kwa matendo yao na uhusika wao sio kisa unachuki binafsi basi uhamishe hadi matendo ya kiongozi mmoja kwenda kwa mwingine katika wakati wao kikwete na lowasa waliifanyia serikali mambo mengi yakukumbukwa nakuheshimika
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
But EL ndio mwanzilishi wa wazo la kuchangisha wafanyabiashara na makampuni ili kujenga madarasa! Na umaarufu aluoupata kwenye hili ulimtisha hata mkuu wake wa kazi na ni mojawapo ya sababu zinazotajwa kuundiwa zengwe mpaka akaachia ngaziWalifanya mengi lkn Shule za Kata na Zahanati ni kazi ya Mkapa (RIP) na fedha zilitokana na Tanzania kusamehewa madeni wakati tulikuwa kundi lililoitwa High Indebted Poor Countries (HIPC), fedha iliyopatikana ktk HIPC ndiyo iliyotumika kujenga Shule na Zahanati Tanzania nzima, hivyo siyo swala la chuki bali ni ukweli, …
Kiukweli pamoja na kashfa ya Ufisadi...Huyu Bwana ni miongoni mwa Viongozi wachapa kazi sana na wenye ubunifu wa maendeleoMm nilishituka kidogo nilipo ona hili jina Nika SEMA nini tena......
Atakumbukwa Kwa kutuletea na kusimamia kujengwa shule za kata nchi nzima na chuo kikuu dodoma...Mzee wa maamuzi magumu..