Edward Ngoyai Lowassa

Edward Ngoyai Lowassa

Mm nilishituka kidogo nilipo ona hili jina Nika SEMA nini tena......

Atakumbukwa Kwa kutuletea na kusimamia kujengwa shule za kata nchi nzima na chuo kikuu dodoma...Mzee wa maamuzi magumu..
Ilikuwa kazi ya Rais Jakaya Kikwete yeye ndiye alifanikisha miradi yote iliyotekelezwa akiwa madarakani.
 
Edward Ngoyai Lowassa (amezaliwa Agosti 26, 1953) ni mwanasiasa Mtanzania ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia 2005 hadi 2008, akihudumu chini ya Rais Jakaya Kikwete. Lowassa ameingia katika rekodi ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kulazimishwa kujiuzulu kutokana na kashfa ya utapeli katika historia ya Tanzania.View attachment 2478209

Kikwete alizaliwa 1950 anakaribia miaka 73, Lowassa 1953 anakaribia miaka 70. Ukiwaangalia utadhani Lowassa yupo zaidi ya miaka 80.
 
Something terrible happened [emoji2827]
 
Edward Ngoyai Lowassa (amezaliwa Agosti 26, 1953) ni mwanasiasa Mtanzania ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia 2005 hadi 2008, akihudumu chini ya Rais Jakaya Kikwete. Lowassa ameingia katika rekodi ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kulazimishwa kujiuzulu kutokana na kashfa ya utapeli katika historia ya Tanzania.View attachment 2478209
Kuna kitu nilikuwa na google leo wala hakihusiani naye, katika suggestion moja ilikuja ya huyu jamaa na maneno kadhaa. Nikasema mbona sijapata taarifa.
 
Siyo kweli, ilikuwa ni Mkapa (RIP) fedha zilitoka baada ya Tanzania kusamehewa madeni, Shule za Kata na Zahanati zote ni kazi ya Mkapa, Kikwete alijenga udom , …
kabadilishe pampers
Jitahidini kuwapa sifa watu kwa matendo yao na uhusika wao sio kisa unachuki binafsi basi uhamishe hadi matendo ya kiongozi mmoja kwenda kwa mwingine katika wakati wao kikwete na lowasa waliifanyia serikali mambo mengi yakukumbukwa nakuheshimika

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Walifanya mengi lkn Shule za Kata na Zahanati ni kazi ya Mkapa (RIP) na fedha zilitokana na Tanzania kusamehewa madeni wakati tulikuwa kundi lililoitwa High Indebted Poor Countries (HIPC), fedha iliyopatikana ktk HIPC ndiyo iliyotumika kujenga Shule na Zahanati Tanzania nzima, hivyo siyo swala la chuki bali ni ukweli, …
 
But EL ndio mwanzilishi wa wazo la kuchangisha wafanyabiashara na makampuni ili kujenga madarasa! Na umaarufu aluoupata kwenye hili ulimtisha hata mkuu wake wa kazi na ni mojawapo ya sababu zinazotajwa kuundiwa zengwe mpaka akaachia ngazi
 
Mm nilishituka kidogo nilipo ona hili jina Nika SEMA nini tena......

Atakumbukwa Kwa kutuletea na kusimamia kujengwa shule za kata nchi nzima na chuo kikuu dodoma...Mzee wa maamuzi magumu..
Kiukweli pamoja na kashfa ya Ufisadi...Huyu Bwana ni miongoni mwa Viongozi wachapa kazi sana na wenye ubunifu wa maendeleo

Huwa najiuliza pasingekuwepo hizi shule za kata hawa Watoto maelfu wanaomaliza kila mwaka wangeenda wapi?
 
Back
Top Bottom