Edwin Odemba kilichomliza ni nini sasa kama sio ujinga na utoto? Mwanaume gani unalia hadharani?

Edwin Odemba kilichomliza ni nini sasa kama sio ujinga na utoto? Mwanaume gani unalia hadharani?

Nikikumbuka kitu kikiitwa mchakato majimboni jinsi walivyokaaibika CCM mpaka wakajitoa sina hamu
Mpaka Tido Danstan Mhando akafukuzwa kazi TBC wakati Jakaya ndiye alimfata aludi nchini kuongoza shirika la utangazaji.
 
UVCCM wamemwagwa hapa wanapindisha mada; sasa mada wameamisha kutoka Nchimbi kukimbia mahojiano bila kutoa taarifa kama alivyotoa taarifa ya ushiriki wake.
Sasa wameanzisha mada ya kwanini Odemba alitoa machozi bila kusema ni machozi ya furahaa, huzuni au masikitiko juu ya wananchi waliopotezewa muda.

Baada ya wiki Nchimbi akienda kuhojiwa na Odemba utashangaa tena wanaosema leo kuwa Odemba hana hadhi ya kumhoji Nchimbi wakibadilisha tena tunes...

UVCCM wanashida sana ya kuwa consistency; inauzunisha sana kuwa na viongozi wa baadae wa namna hii.
 
Ameshakula hela za chadema kwa hiyo anawaza atazirudishaje, imagine maswali ya kuuliza anapewa na Boniphace Jackob na Martin Maranja Masese, pamoja na Mnyika. Na wanafanya vikao vya siri kabisa. Atafutwe mwandishi mwingine, huyu Odemba ni kada nguli wa Chadema tangu anasoma chuo kikuu
Siku zote hujitayarisha kuuliza maswali ya kupinga na hata anapojibiwa huwa na kiburi fulani kwa yule anayemuuliza maswali. Hana skills za kutosha za uandishi wa habari.
 
Mleta Mada ukimkuta kanyimwa buku saba huko Lumumba utamkuta analia mpaka Tonsills zinaonekana.
 
Sasa nini kilimliza?
Nilikuwa simuelewi kabisa, nimezidi kutokumuelewa!!

Au ni plan, nimemskia alivyoanza kusema hizo sababu za hao wengine kutoshiriki huo mdahalo.
Huo mpangilio wake haujakaa sawa
haya mambo yenu mimi siyajui; ndiyo maana nilipo soma mada ilivyo wasilishwa, tena kishabiki, halafu haielezi chochote nikaona ni upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom