M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 1,031
- 2,647
Mpaka Tido Danstan Mhando akafukuzwa kazi TBC wakati Jakaya ndiye alimfata aludi nchini kuongoza shirika la utangazaji.Nikikumbuka kitu kikiitwa mchakato majimboni jinsi walivyokaaibika CCM mpaka wakajitoa sina hamu