mediaman
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 451
- 688
- Thread starter
- #121
Dunia ilianza kuharibika baada ya mwanadamu wa kwanza kutenda dhambi. Adam na Hawa wasingetenda dhambi hata Biblia isingekuwepo maana Mungu alikuwa anaongea nao ana kwa ana. Hata hivyo kwa upendo alio nao Mungu ametuandalia makao mengine mazuri mbinguniMungu wako alishindwa kuumba dunia isiyoweza kuharibika?
Kama alishindwa, ni kweli ana uwezo wote?
Kama aliweza hakutaka tu, ni kweli ana upendo wote?