Dunia ilianza kuharibika baada ya mwanadamu wa kwanza kutenda dhambi. Adam na Hawa wasingetenda dhambi hata Biblia isingekuwepo maana Mungu alikuwa anaongea nao ana kwa ana. Hata hivyo kwa upendo alio nao Mungu ametuandalia makao mengine mazuri mbinguni