NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,801
- 643
JS location yako utata
hapa nilipobold ndo mnakutana na kina Nguli na Xpin?
Location: Home/Office/Bar/Saloon
Tulikutana geto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JS location yako utata
hapa nilipobold ndo mnakutana na kina Nguli na Xpin?
Location: Home/Office/Bar/Saloon
aaaah! ukikamata usukani natoa upepo matairi yote (hizo fitna zangu hata zile za JAngwani na Msimbazi hazioni ndani)Taratibu skuli mate wa project man! That needs my approval. Na akikosekana mtu nakamata usukani mwenyewe!
nimewapotezea!hawajibu.
unajua hizi shule zetu waseminari tulifundishwa kila kitu WE CAN DO ANYTHING
Acha uongo wote tutaishia kwenye udongo
Nenda kule kajibu shairi usijekimbila ubungo
Tuma CV yako nione kama una deserve!aaaah! ukikamata usukani natoa upepo matairi yote (hizo fitna zangu hata zile za JAngwani na Msimbazi hazioni ndani)
naona kumechangamka sasa firstlady naona unamvuto wa kipekee umebip tu m2 kibao zimeanza kupiga big up mama
hapa nina hangover za weekend kama mia hivi ,
kuna Topic moja kule naitafakari sipati majibu ..inahusiana na mambo yetu yaleeeeeeeee ya ulabu JS umeshaiona ?
Muulize binamu Kaizer yeye ndo alidelegate hilo suala nikurudishie uongozi
Tulikutana geto
jamani hii thread naona ingefaa sana kungekuwa na chat room.....wenye kutaka mablanketi.... uswazi....sijui nini...haya kazi kwenu!
well said binamu JS! Mi nakupendea hapo tu! sasa chrispin imekula kwake....kazi inaendelea!
leo mabosi wamekaba hadi penati, si unajua tena kesho kulala home, so lazima viporo viishe.
hahah hivi kesho ni sikukuu ya nini Carmel nimeshau mwenzio tangu primary tunasherehekea
Tena wewe ndo siamini! Kikulacho si kiko nguoni kwako bana!
Nasikia Kesho ndio Karume anampindua Seif Sharrif Hamad.[/QUOTE]
sasa wakikusikia hao! haya mambo ya siasa haya!
hahaha, shihi si una email ya jamiiforums? tukutane kule sasa....