EFM, imekuaje Scorpion (aliyemtoboa mtu macho) kuwa huru?

Jambo gani au kupelekewa moto
 
Scorpion hakufanya tukio lile kwa makusudi

Mbona,alijua kwanini kafanya

Watu wa kupuyangapuyanga,kukutana na watu

Mbona walishapata kisa,sababu nzima kitambo tu

Ova
 
Kwa hiyo nae ni shujaa?
Daslamu kuna vituko
 
Kwenye jinai mlalamikaji na mshitaki ni serikali.Scorpion alishatumikia adhabu basi yuko huru.
 
Kifungo kikiisha hutakiwi kuachiwa ?
 
Kabisa. Huyu mwamba alionewa tu. Yule aliyetobolewa alikua sio. Watoto wa mjini walinipa full info ya ile ishu kitambo kile. Ni vile tu ndio hivyo tena. Kuna namna fulani mwenzako akikuwahi akapata public sympathy unakua umekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…