History-Victory
JF-Expert Member
- Sep 11, 2021
- 326
- 733
Afu yule Side nilimuona kua mshenzi baada ya kupewa zile mali akaanza umalaya mpaka ndo yake ikavunjika...jamaa nae alikua na yake yule sio bure.Scorpion hakufanya tukio lile kwa makusudi
Mbona,alijua kwanini kafanya
Watu wa kupuyangapuyanga,kukutana na watu
Mbona walishapata kisa,sababu nzima kitambo tu
Ova
Nipe udau man kinaga ubagaKabisa. Huyu mwamba alionewa tu. Yule aliyetobolewa alikua sio. Watoto wa mjini walinipa full info ya ile ishu kitambo kile. Ni vile tu ndio hivyo tena. Kuna namna fulani mwenzako akikuwahi akapata public sympathy unakua umekwisha.
SideAfu yule Side nilimuona kua mshenzi baada ya kupewa zile mali akaanza umalaya mpaka ndo yake ikavunjika...jamaa nae alikua na yake yule sio bure.
Inawezekana kweli, ila hapo ndiyo maana vyombo vya usalama vipo kudeal na watu kama hao. Ikiruhusiwa kila mtu achukue sheria mkononi basi patakuwa hapatoshi. Itabidi tuanze na viongozi wanaotuibia, mtu anapita na pesa kwa ajili ya mradi wa zahanati ya kijiji.Kabisa. Huyu mwamba alionewa tu. Yule aliyetobolewa alikua sio. Watoto wa mjini walinipa full info ya ile ishu kitambo kile. Ni vile tu ndio hivyo tena. Kuna namna fulani mwenzako akikuwahi akapata public sympathy unakua umekwisha.
Huyu jamaa ni maarufu hata kabla ya hili tukio, kuna shindano alishiriki na alikuwa mshindi nahisi ni la kondom Kama sijakosea na lilikuwa zuri sanaNaona mnataka kumsafisha huyo scorpion, the issue is whether alimjeruhi huyo mlalamikaji or not haya mambo mengine hayahusiki mahakamani.
Hata ukiua kibaka na ukakamatwa utapigwa kifungo Cha maisha au kunyongwa Hadi ufe haijalishi alikuwa mwizi.
All in all, huyo jamaa nae alikuwa mhalifu walikutana wote mabingwa wa uhalifu sioni sababu kwa nini apewe umaarufu kisa alikuwa mkabaji maarufu Hadi kutoboa macho watu. Imagine jamaa anatoboa mtu macho aisee huyu ni katili mkubwa sana.
Alimtoboa kiongozi wa vibaka wa buguruni na panya road, Scorpion alikuwa anakomesha vibaka.Jina lake halisi ni Salim Njwete Salum, jina maarufu ni 'SCORPION' alijulikana zaidi kutokana na tukio la kumtoboa mtu macho. Alikamatwa na akahukumiwa kifungo. Sasa ametoka yupo mtaani na mengi yamezungumzwa kuhusu
yeye. Na bado wengine wanaendelea kumsema na kumuhukumu mtaani.
Najiuliza Kwa Tukio Alilo lifanya huyu Scorpion La Kumtoboa Mtu Macho na Kumpa Kilema cha Milele cha Kutokuona Yanayo endelea Duniani, Inakuaje ameachiwa huru?
Tuseme usalama wake utakuwaje huku mtaani? Mahakama na magereza Vitawaaminisha vipi wananchi kuwa huyu amestahili kutoka? Huku akimpa mtu Kilema Cha milele na muelekeo mbaya sana wa Maisha?
Lakini Pia EFM walitaka kumfanyia mahojiano leo, hii Radio Wamefikiria kweli?
Kumbe haya mambo yanawezekana unaweza fanya tukio Baya sanaa ukawa huru
View attachment 2059010
View attachment 2059012
Mbona alishakuwa star kitambo sana tu kabla hata ya kumtoboa mtu macho, tangazo la dume condom si ni yeye buwana!! ha ha ha!!kesho na keshokutwa atakua star bongo hii
Nilimchukia mtobolewa macho pale alipomuacha mkwe kisa kawa maarufuKabisa. Huyu mwamba alionewa tu. Yule aliyetobolewa alikua sio. Watoto wa mjini walinipa full info ya ile ishu kitambo kile. Ni vile tu ndio hivyo tena. Kuna namna fulani mwenzako akikuwahi akapata public sympathy unakua umekwisha.
Nipe udau man
Cheki pmSide
Mnyamwezi
Ni kweli ndio hivyoSi walisema yule mwamba alietobolewa alkua anamiliki genge la vibaka kupora vitu mtaani mmoja wao akampora dadake scorpion jamaa akmuendea akamwambia arudishe mzigomwamba akawa mbishi.
Mwenye kukumbuka vzr hii story atukumbushe.
Shwari nitachekCheki pm
Ova
The scorpionMtoboa macho kipenzi cha watu buguruni kimboka pale
Kweli kabisaKabisa. Huyu mwamba alionewa tu. Yule aliyetobolewa alikua sio. Watoto wa mjini walinipa full info ya ile ishu kitambo kile. Ni vile tu ndio hivyo tena. Kuna namna fulani mwenzako akikuwahi akapata public sympathy unakua umekwisha.
Na kuna mtu ataanza kumwita babe .. bila woga[emoji41]
Inabidi ifike wakati sheria ziwe fluid.Inawezekana kweli, ila hapo ndiyo maana vyombo vya usalama vipo kudeal na watu kama hao. Ikiruhusiwa kila mtu achukue sheria mkononi basi patakuwa hapatoshi. Itabidi tuanze na viongozi wanaotuibia, mtu anapita na pesa kwa ajili ya mradi wa zahanati ya kijiji.
Kama alikuwa anajilinda, ila kama alikuwa hajilindi mfano aliua kwasababu huyo mtu alimbaka mwanae basi adhabu inakuwa ndogo.Inabidi ifike wakati sheria ziwe fluid.
Kwa mfano, US ikingundulika umeuwa mtu na let say aliyeuwawa alikua ni paedophile na sababu ya mauaji ni hiyo, basi aliyeua anakua hana hatia.