EFM, imekuaje Scorpion (aliyemtoboa mtu macho) kuwa huru?

Inasemekana jamaa alietobolewa macho alikua kibaka mzoefu aka panya road.
 
Well said.
 
Mimi mwenyewe kuna mxenge kanipiga takribani milion 3.5 kwa nyakati tofauti tofauti, hili suala nimelifikisha kwa mtendaji wa kata, polisi na mpaka kwenye familia ya huyu mxenge ila hakuna hatua zozote zilizochukuliwa, namlia timing tu akijaa kwenye mfumo nitaiachia familia yake simanzi ambayo hawatakuja kunisahau maisha yao yote.
 
Hamna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…