EFM jogging mnatuletea usumbufu barabarani

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Hawa jamaa wa EFM jogging ipo siku watatulaumu na jogging zao. Halafu kwanini inakua jioni mida watu tunastress za kazini na bado mtuongezee jam wakati mnaweza fanya mazoezi maeneo ya wazi au beach?
Halafu hii kitu mbona kama iliwahi kukatazwa mbona nyie mnakomaa tu?
1676995719493.jpg
 
Hawa jamaa ipo siku watatulaumu na jogging zao. Halafu kwanini inakua jioni mida watu tunastress za kazini na bado mtuongezee jam wakati mnaweza fanya mazoezi maeneo ya wazi au beach?
Halafu hii kitu mbona kama iliwahi kukatazwa mbona nyie mnakomaa tu?
View attachment 2525386
Aisee mimi ni mkimbiaji ila hawa jamaa wanaboa kinoma. Wanaleta usumbufu kwa madereva sana. Tena wanapenda main roads hata kama kuna eneo la watembea kwa miguu wao wanapita katikati ya baranara na vibendera vyao. Ukipishana nao hicho kikwapa!
 
Yani wanaudhi aisee unakuta watu mmesimamishwa 15 minutes msafara upite halafu mbele unaenda kukutana nao tena wanazidi kukupotezea muda maana masaki ndio wameona ni chaka lao wakati ndo misafara ya viongozi inatuleteaga jam huko
 
Walikatazwa weekend kwasababu wanasumbua watu waendao ibadani maana weekend makundi ya jogging huwa ni mengi. Sasa itabidi wakatazwe siku zote hamna kukimbia makundi makubwa au marufuku kukimbia katikati ya barabara kama gari.
 
Kuna Wanajeshi wa NDC nao asubuhi barabara ya Bahari Beach wakati wa peak rush hour utawaona wanafunga barabara na vibendera vyao. Kwanini hawakimbii pembeni kwenye njia ya waenda miguu? Au wakimbie alfajiri saa 9 usiku kabla ya magari kujaa barabarani.
 
Hao sio mgambo kweli maana ndo wapenda sifa
 
Walikatazwa weekend kwasababu wanasumbua watu waendao ibadani maana weekend makundi ya jogging huwa ni mengi. Sasa itabidi wakatazwe siku zote hamna kukimbia makundi makubwa au marufuku kukimbia katikati ya barabara kama gari.
Oh nilidhani ni weekdays pia ila hawa jamaa wajiongeze aisee huwezi kuwa mnakimbia mnaona msululu wa magari nyuma na bado mko comfortable mnakimbia mdogomdogo
 
Hawa jamaa wa efm jogging ipo siku watatulaumu na jogging zao. Halafu kwanini inakua jioni mida watu tunastress za kazini na bado mtuongezee jam wakati mnaweza fanya mazoezi maeneo ya wazi au beach?
Halafu hii kitu mbona kama iliwahi kukatazwa mbona nyie mnakomaa tu?
View attachment 2525386
hawana lolote kutaka kujionyesha tu. Kwanza hawana hata mavazi ya training, mavazi ya mazoezi ni trak suit wao wamevalia T-shirt zenye manembo ya E-FM mbele na nyuma. Mbili kwani viwanja vimeota miba wasikimbie huko waje barabarani. Ebo !
 
Hawa wapuuzi wanafanya maandamano tena bila hata kibali, sheria ichukue mkondo wake mara moja.
 
Inatakiwa ajitolee shujaa mmoja akikutana nao barabarani awavunje miguu labda ndio akili zitakaa sawa🐒
 
Back
Top Bottom