EFM na WASAFI Wanadhalilisha Tasnia ya Habari nchini

Juzi kati Masanja kuna vazi alitinga sikulielewa kabisa[emoji1787]. Blouse mikono ya nguva.
Hafu eti ni mchungaji wa kanisa ila nchi hii ku control maadili imeshindikana mno na hata wamiliki wa hizi walikuwa watu wahuni tu so hawataki ueledi ukishakuwa maarufu tayari umefuzu kuwa mtangazaji
 
Umesema kweli. Kimsingi vyombo vya habari Tanzania ni janga kuu. Ila sasa watanzania wenye kujitambua na kujua kuwa hivyo vyombo havina ubora ni wachache sana. Wengi ni binadamu wenye vichwa vya nyumbu.
 
Imewekwa kapuni.
 
Masanja Hana u comedy wowote awe tu serious u comedy amwachie mpoki
 
Hafu eti ni mchungaji wa kanisa ila nchi hii ku control maadili imeshindikana mno na hata wamiliki wa hizi walikuwa watu wahuni tu so hawataki ueledi ukishakuwa maarufu tayari umefuzu kuwa mtangazaji
Mkuu ni hivi. Mpumbavu akifanya upumbavu wake na watu wakifurahia basi ataendelea kufanya akidhani kuwa ana akili kubwa. Hili ndilo tatizo la vyombo vya habari vya Tanzania. Wananchi wangekuwa wanawapuuza wala wasingedumu kuwepo kwa mwezi mmoja. Ila nchi ndiyo hii, raia ni fuata mkumbo anayehoji vitu vya maana anaonekana ndiye mjinga.
 
Kama taifa Kuna mahali tumekosea wajinga ndio wanasifiwa sikuhizi mwerevu anaonekana hamnazo na jinsi serikali inavoongeza shule na vyuo na level ya ujinga inaongeza Kwa taifa sijui tumekwama wapi?
Ila I think CCM inafurahi hyo hali mana ujinga na kutoku reason ni mitaji mizuri ya wanasiasa na manabii uchwara
 
Inabidi kabla ya kuwanyooshea vidole EFM & WASAFI lazima ujiulize aina ya wasikilizaji ulio nao. Wasikilizaji waliopo ndo kama wewe unaandika Taakuma badala ya taaluma ukiulizwa unasingizia typing error. Redio haiweza dumu kama haina wasikilizaji. Wasikilizaji wanapokuwa wengi inarahisisha kupata wateja wa matangazo na madili mengine yanayohusiana. Haijalishi kama wasikilizaji ni malaika au mashetani cha muhimu ni kuwe na wasikilizaji. Sasa waliopo ndo wanapenda watangazaji kama Masanja. Mimi nadhani sisi wapenda maadili turudi TBC kumenoga.
 
Mzee ukitambua kwamba tuko kwenye nyakati ambazo ukijizima data unafanikiwa mapema kuliko ukijifanya profeshino basi wala hutahangaisha akili yako na kusononeka.
 
Mzee ukitambua kwamba tuko kwenye nyakati ambazo ukijizima data unafanikiwa mapema kuliko ukijifanya profeshino basi wala hutahangaisha akili yako na kusononeka.
[emoji2][emoji2]kwahyo taifa Zima tujizime data?
 
[emoji2][emoji2]kwahyo taifa Zima tujizime data?
Sasa we hutaki mshahara na madili ya matangazo? 😀 Hata usipojizima data raisi wako tu mwenyewe kajizima data. Mtapiga makelele wee wao wanajenga mahoteli na ma apartment duniani huko. 🤣 🤣 🤣
 
Sasa we hutaki mshahara na madili ya matangazo? [emoji3] Hata usipojizima data raisi wako tu mwenyewe kajizima data. Mtapiga makelele wee wao wanajenga mahoteli na ma apartment duniani huko. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Heri kujenga mahoteli huko duniani na mambo ya msingi na sio porojo honestly Mimi nilishaachaga kufatilia redio za bongo Huwa nafatilia tu habari usiku kama maZoea au ziara za Rais basi hayo maujinga ya kina kitenge, sijui baba level hapana
 
Yaani uoo serious" kabisa unalinganisha Marekani Amerikà!?
 
Labda Tanzania. BBC na DW Wana miaka zaidi ya 50 kuna sehemu unasikia Ujinga Ujinga.
 
Kitenge huwa ana makelele,mimi magazeti naangalia TBC au Clouds media. Hawa wasafi na Efm wamelenga majority wale wa mtaani ,mjini waliochoka na maisha wao wanataka Burudani, vichekesho katika kila kitu.Na ndiyo walio wengi.
Radio za uswahilini siyo?
 
Juzi kati Masanja kuna vazi alitinga sikulielewa kabisa[emoji1787]. Blouse mikono ya nguva.

Wenzako anaona pale eti ni ubunifu basi hua nacheka sana mara avae magauni kama wehu vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…