EFM na WASAFI Wanadhalilisha Tasnia ya Habari nchini

Kuna mmja nilisikia akisema hiyo hela ukigawanya Kwa watanzania wote kila mtanzania atapata milioni 73,Yani hata mtangazaji hafahamu simple maths za kugawanya
 
Siyo kweli kuna mwananchi.gani.hapendi kusikia
1. Mada za afya
2. Habari za biashara na uchumi.
3.mada mbalimbali Za kibiashara ndani na nje ya nchi..
3. Mada Za Elimu
4. Kujikinga na majanga mbalimbali.
5. Makala Tofauti tofauti zenye kuelimisha kama kilimo na ufugaji etc...
6. Ujenzi , makazi, usafiri etc..
7. Mada za Sheria na wajibu wa RAIA.

8. Maendeleo na mipango ya Serikali

Mambo ya msingi ni mengi tofauti na hizo takataka tunazoziona sasa kwenye runinga na radio umbea 24hrs

Huwezi kukosa wazamini na vipindi kama hivyo
 
Hana ufresh wowote kwa upande wangu namuona mropokaji.
Alikuwa sawa kipindi Yupo ITV anatangaza taarifa ya habari za michezo.
 
Hawangalii taaluma tena ukijua kuongea ongea maneno mengiiii kwa makelelee unalamba ajira....ovyo sana
 
target audience, wenyewe wana enjoy sanaI

Target audience yao wana enjoy, u may be not among....wapishe!!
 
Kazi ya kubwabwaja kwenye radio nayo inahitaji mtu msomi kweli?
 
Sina haja ya kubishana. Kila kitu kipo wazi
 
Nina mwaka wa Saba sitaki local channels niliondoka huko kitambo sana zilinishindaga
 
Ni wapuuzi na ndiyo maana vijana wengi wasio na elimu ndiyo wasikilizaji wao wakubwa wakiamini kila ujinga hata kama si kweli. EFM sasa hivi wana Masanja Mkandamizaji kama mchambuzi wao wa habari magazetini, seriously......Jamaa anachambua habari kana kwamba yuko na watoto wadogo au anawasomea hadithi watoto wadogo na wenzak kina Masoud na wengineo wanamchekea tu. Huku Wasafi ndiyo uozo kabisaaaaa, wako very useless.
 
Katika watangazaji wapuuzi yeye ni namba moja kwenye orodha na redio za mtaani zinamaliza credibilty yake kabisaaaa.
 
Baba levo kila kipindi anapuyanga balaa bora mwenzie shilole sio mjuaji atoi maboko sana yahn Ni mweupe sio poa sema bongo nimegundua wasikilizia redio asilimia kubwa akili ndogo.....

Kuna kipind kimoja alikuwa ansema ukipewa M50 kuliko kujenga bora ufanye biashara then biashara ikishakuwa ndio ujenge aisee nilivuta waya nilitaka nimuulize biashara gani hiyo anaona uhakika M50 haipotei ila mpka kipindi kinaisha hakuisema nikahitimisha na msemo wa bongo nyosso
 
Mkuu tatizo bongo kuonekana mpaka kuaminika sio mchezo ila binafsi uchambuzi wa siasa naona sio haba content ninazo za kutosha nipo 74/100 ila nikijua ile Ile kama ndio kazi rasmi napiga hata ka diploma ka political sayance na journalism nitafika mapaka 98,99 ttzo kupata nafasi
 
hizo ni radio za commedians na wavuta bangi. dont expect critical thinking
 
MM ndo mana nilikataa hii pale tudarco mwaka ulee.. mana unasoma miaka mi 3 unaingia mtaani unakutana na kilaza mmoja eti ana kipaji... ukimsikiliza unaskia "yoooo.... tukiwa sii hapa mjengoni na mata ze-doni ... " PUMBAFFFF
 
Hizo redio zinapendwa na madereva boda boda, watu wa vijiweni na uswahilini. So don't bother yourself!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…