EFM sio media ya kurusha simulizi za aina hiii zisizo na maana

Nyamwi255

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
4,848
Reaction score
12,776
Kipindi cha genge kinachoruka kuanzia saa 3usku mpaka saa 5 usiku, mnamo tarehe 19 na 20-024
Kilirusha simulizi ya mwanadada Natasha katika segment ya NIAZIME SIKIO.
Simulizi ambayo ilikosa maadili.
Kwenye simulizi hiyo ambayo msimuliaji ni mwanadada natasha alisimulia jinsi alivokutana na MWANAUME katika mitandao ya kijamii wakawa wameanzisha mahusiano pasina kujuana., Mwisho WA siku natasha akaenda kumtembealea huyo MWANAUME gheto kwake na kumkuta ana maunbile makubwa kama ya punda Hali iliyopelekea mdada huyo kubleed miezi 6 baada ya kustuka kuona umbile la MWANAUME huyo lenye mithili ya punda.

EFM sio media ya kurusha simulizi za aina hiii zisizo na maana kama wafanyavyo JAMII TV na FETY TV kule mjini youtube.

JIREKEBISHENI
 
Usitegeemee ukiolewa utakutana na umbile kama hilo..
Hizo ni story tuu be patient 😂😂😂🚬🚬🚬🚬
 
Ebu tusimulie wewe ambavyo ungeisimulia hiyo story kama ndio ungekua huyo dada.
 
Kama unasikiliza kipindi cha Genge cha singeli, let alone Radio. Basi hilo ni tatizo lako. Sababu hicho kipindi maudhui yake ni specifically kwa aina ya wasikilizaji wake.
 
Kipindi cha genge kinachoruka kuanzia saa 3usku mpaka saa 5 usiku, mnamo tarehe 19 na 20-024
Kilirusha simulizi ya mwanadada Natasha katika segment ya NIAZIME SIKIO.
Simulizi ambayo ilikosa maadili.
Kwenye simulizi hiyo ambayo msimuliaji ni mwanadada natasha alisimulia jinsi alivokutana na MWANAUME katika mitandao ya kijamii wakawa wameanzisha mahusiano pasina kujuana., Mwisho WA siku natasha akaenda kumtembealea huyo MWANAUME gheto kwake na kumkuta ana maunbile makubwa kama ya punda Hali iliyopelekea mdada huyo kubleed miezi 6 baada ya kustuka kuona umbile la MWANAUME huyo lenye mithili ya punda.

EFM sio media ya kurusha simulizi za aina hiii zisizo na maana kama wafanyavyo JAMII TV na FETY TV kule mjini youtube.

JIREKEBISHENI
Umejifunza nini?
 
Back
Top Bottom