mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
unafki tuuwekeTukiweka unafiki pembeni E FM wataisumbua sana Clouds
Asante mkuu.nilikuwa moshi kili FM inasikilizwa sana kuliko clouds.kuna stesheni za taifa na za mikoa.efm wenzake kili FM,jembe FM na wengine wa mikoani.clouds na EA radio ni redio za taifaEFM ni sehemu yakupumzikia watangazaji wa Clouds,wakimhitaji anytime anarudi.
Clouds inaushindani kama wa EFM kila mkoa kwa hiyo bado wana safari kujilinganisha na Clouds.
Wakiweza mng'oa B12 kile kipindi wakifuteBado Millard ayo na twangala (b12)
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] swalii gumuLini watamsajili Ruge?
Mmmh twangala ngumu ana kula shavu nono mawingu, Millard anasemaga kila ckuu anafungua radio yk lkn naona kimya mpk ssBado Millard ayo na twangala (b12)
Shafii duuu n ngumuBado shafii dauda wakimtoa uyo bc hakuna michezo mtaa wa pili