Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Kukopa sio kosa Ila kopa unachoweza kurejesha sio unakopa alafu unasubiri msamaha, China yaisamehe Tanzania deni la billion 31.8, Ujuremani yaikopesha Tanzania Billion 900 kwa ajili ya Tehama, alafu tunamsubiri Mjerumani nae asamehe mkopo wake, mwalifyale hio ndio furaha ya kukopa ili tufurahie kusamehewa mikopo?Ila ni kweli tunakopakopa sana.
Kwani katiba mpya inazuia hivyo visijengwe?Katiba ya nini vituo vya afya, mabarabara, madaraja, Kila mahali maendeleo, hayo makaratasi ya katiba hatuyataki
Samia anahusikaje na biashara za Majizzo? Majizo na mtumishi wake ndio wanapigana misumariHalafu mnahadaa watu eti Samia karejesha uhuru wa kujieleza. Kumbe huo uhuru wa kujieleza ni wa kusifia tu. Sasa hapo tofauti yake na Magufuli ni ipi zaidi ya jinsia?
Sisi tumeridhika na hii katiba, nyie walafi wa madaraka ndio mnapanga kuweka vyeo humo mara sijui serikali za majimbo, lengo lenu kula Hela za wananchi kwa mtaji wa kupiga domoKwani katiba mpya inazuia hivyo visijengwe?
Peleka boga, linatakiwa likaliwe Sasa hiviLabda wewe na mumeo ndio hamyataki
Maoni binafsi yanaruhusiwa tatizo ayo maoni unayatolea wapi?Kwahiyo hairuhusiwi kutoa maoni binafsi? Mnataka kila mtu awe chawa wa kusifia kila kitu
Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopokopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.
Kwani Hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.
View attachment 2464611
Kwani Hando kapewa onyo na Serikali au mmiliki wa Taasisi? Mwenye radio yake na wasikilzaji wa hiyo radio wameona alichokisema Hando akina afya kwa radio yao ndio maana wanataka kumchukulia hatuaHalafu mnahadaa watu eti Samia karejesha uhuru wa kujieleza. Kumbe huo uhuru wa kujieleza ni wa kusifia tu. Sasa hapo tofauti yake na Magufuli ni ipi zaidi ya jinsia?
Hapa ndipo unapokwama mzee wa Mibikimitali.Toa ufafanuzi.Siyo wote wana kadi za CDM au access ya kukifikia chama na viongozi hao.Wana nia njema ya kujua mienendo nchini.Uwe unamwaga mipweinti waelewe.Watakujibu Bavicha wenzako
Onyo halijiijii hovyo.Kuna kitu kimeanza ndiyo limefuata onyo.Beware of hypocrites!Kwani Hando kapewa onyo na Serikali au mmiliki wa Taasisi? Mwenye radio yake na wasikilzaji wa hiyo radio wameona alichokisema Hando akina afya kwa radio yao ndio maana wanataka kumchukulia hatua
Anyooshwe huyo Hando na bwana Majizo umefanya vizuri.Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopokopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.
Kwani Hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.
View attachment 2464611
Mnapenda sana kusifiwa. Hamtaki kabisa mawazo mbadala. Kama wachawi vile.