Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Kukopa sio kosa Ila kopa unachoweza kurejesha sio unakopa alafu unasubiri msamaha, China yaisamehe Tanzania deni la billion 31.8, Ujuremani yaikopesha Tanzania Billion 900 kwa ajili ya Tehama, alafu tunamsubiri Mjerumani nae asamehe mkopo wake, mwalifyale hio ndio furaha ya kukopa ili tufurahie kusamehewa mikopo?Ila ni kweli tunakopakopa sana.