Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Aiseeee !!Naona hizo ndio zitakuwa "siri za ofisi" kati ya muajiri na muajiriwa, japo naamini zitakuwa miongoni mwa hizo ulizoorodhesha hapo juu.
Kile kitendo cha kumshughulikia Hando naamini kilichangiwa na safari aliyokuwa nayo Majizzo jana, kwenda Msoga kuwa dj kwenye shughuli ya kuukaribisha mwaka iliyofanyika nyumbani kwa Kikwete, ndio akaona "afukie mashimo" mapema.
Kusaga alishawahi kumtimuwa Kipanya clouds FM kwa kutoheshimu Policy za media zake, aliwaondowa Kipanya na Fina Mango wake bila kujali walikuwa wapo fire na power breakfast yao.Uhuru wake wa maoni afanye kwenye page yake binafsi ...sio kwenda kuongea vitu tofauti na misimamo ya Taasisi iliyokuajiri.....halafu ukifukuzwa kazi useme Uhuru wa kutoa maoni.
Kusaga alishawahi kumtimuwa Kipanya clouds FM kwa kutoheshimu Policy za media zake, aliwaondowa Kipanya na Fina Mango wake bila kujali walikuwa wapo fire na power breakfast yao.
Kusaga alishawahi kumtimuwa Kipanya clouds FM kwa kutoheshimu Policy za media zake, aliwaondowa Kipanya na Fina Mango wake bila kujali walikuwa wapo fire na power breakfast yao.
Swali letu limelenga kujua hatua alizochukuliwa tu , kwa nchi isiyo ya kidemokrasia kama Tanzania yote uliyoyaandika ni sahihiUhuru wake wa maoni afanye kwenye page yake binafsi ...sio kwenda kuongea vitu tofauti na misimamo ya Taasisi iliyokuajiri.....halafu ukifukuzwa kazi useme Uhuru wa kutoa maoni...
Ukifanya kazi media ambayo mmiliki wake ni Chadema ...maoni yako kupitia media hiyo lazima yaendane na misimamo rasmi ya hiyo media..
The same goes Kwa CCM, Cuf etc...
Hutaki Acha kazi ukaropoke popote kule
Ndugai Syndrome.Alifanyaje ?
Uhuru wake wa maoni afanye kwenye page yake binafsi ...sio kwenda kuongea vitu tofauti na misimamo ya Taasisi iliyokuajiri.....halafu ukifukuzwa kazi useme Uhuru wa kutoa maoni...
Ukifanya kazi media ambayo mmiliki wake ni Chadema ...maoni yako kupitia media hiyo lazima yaendane na misimamo rasmi ya hiyo media..
The same goes Kwa CCM, Cuf etc...
Hutaki Acha kazi ukaropoke popote kule
Hakunaga kitu ambacho kipo permanent. Vindu vichanjaga/ mambo hubadirikaJamaa alipost akiwa Msata-chalinze hii familia ndo Tanzania one??
Hata wewe!!!!!???Uhuru wake wa maoni afanye kwenye page yake binafsi ...sio kwenda kuongea vitu tofauti na misimamo ya Taasisi iliyokuajiri.....halafu ukifukuzwa kazi useme Uhuru wa kutoa maoni...
Ukifanya kazi media ambayo mmiliki wake ni Chadema ...maoni yako kupitia media hiyo lazima yaendane na misimamo rasmi ya hiyo media..
The same goes Kwa CCM, Cuf etc...
Hutaki Acha kazi ukaropoke popote kule
Hajazuiwa kuandika chochote kwenye page yake wala kuchukua fomu kugombania nafasi yeyote kwenye chama chochote.... bado ana Uhuru mkubwa WA maoni na kushiriki siasa..Hata wewe!!!!!???
Hata wewe!!!??Hajazuiwa kuandika chochote kwenye page yake wala kuchukua fomu kugombania nafasi yeyote kwenye chama chochote.... bado ana Uhuru mkubwa WA maoni na kushiriki siasa..
Asihusishe chombo ambacho muajiri wake hataki....mbona simple kabisa hii kueleweka?
That's right Mr The Boss...Uhuru wake wa maoni afanye kwenye page yake binafsi ...sio kwenda kuongea vitu tofauti na misimamo ya Taasisi iliyokuajiri.....halafu ukifukuzwa kazi useme Uhuru wa kutoa maoni...