Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangazo la kuchukuliwa hatua Gerald Hando kuhusu nchi kukopa kopa linatolewa MSATA-CHALINZE- PWANI inafikirisha sanaUongozi wa E-FM umetangaza kumchukulia hatua Gerald Hando kutokana na kauli yake aliyoitoa kupitia E-FM kuwa hapendi Serikali inavyokopakopa hovyo na kusababisha ugumu wa maisha.
Hili suala la Mikopo ya Serikali ni jana tu hapa tulijadili sana kwamba Bunge liitake Serikali ije na maelezo ya mikopo iliyochukua kama ina baraka za Bunge au laa ili wananchi wote pamoja tuwe na picha ya pamoja kuhusu mikopo.
Kwani kuna malalamiko makubwa yaliyo sasa ni kwamba mikopo mingi imechukuliwa nje ya Bajeti iliyopitishwa na Bunge kwa mujibu wa Sheria.
Gerald Hando leo amechukuliwa hatua kwa kuhoji kuhusu Mikopo, Ndugai aliondoka kwenye kiti ya Spika kwa sababu ya kuhoji mikopo, Luhaga Mpina alikatwa jina kugombea NEC kwa sababu alihoji mikopo bungeni.
View attachment 2464630
Mnapenda sana kusifiwa. Hamtaki kabisa mawazo mbadala. Kama wachawi vile.Akome, kwanza sio muandishi wa habari
We chawa acha njaaAkome, kwanza sio muandishi wa habari
Kwani kusema serikali inakopa sana na jambo hilo si zuri ni kosa kisheria?
Watakujibu Bavicha wenzakoKwani kusema serikali inakopa sana na jambo hilo si zuri ni kosa kisheria?
Hakuna kosa hapo. Ila basiKwa hiyo sasa hivi kuhoji mambo ya mikopo ya serikali ni sawa na kosa la jinai?
Hii Chama ya Mambuzi umefanya watanzania wote kuonekana kama wapumbavu.
Oneni hii mbuzi ya ccm inavoharishaMajizo amfukuze kazi Hando, EFM ni kituo kizuri sana Cha Radio, tatizo Hando anaingia akiwa amelewa chakari halafu anaruhusiwa kuingia hewani, aweke vipimo vya kilevi mlangoni.
Na akianza kuweka kipimo hicho, akipita Hando, kitapiga alarm ambayo itafika mpaka Morogoro, na kipimo kinaweza kupiga shoti hapohapo na kuharibika
Mtangazaji alikuwa yuko sahihi kwa 100%.
Kilichotokea hapo ni hofu tu ya zile figisu, zengwe, fitna nk kutoka serikali ya chama cha mambuzz.
Mwenye namba ya Simu ya Mzalendo Gerald Hando aitume hapa tumpe poleUongozi wa E-FM umetangaza kumchukulia hatua Gerald Hando kutokana na kauli yake aliyoitoa kupitia E-FM kuwa hapendi Serikali inavyokopakopa hovyo na kusababisha ugumu wa maisha.
Hili suala la Mikopo ya Serikali ni jana tu hapa tulijadili sana kwamba Bunge liitake Serikali ije na maelezo ya mikopo iliyochukua kama ina baraka za Bunge au laa ili wananchi wote pamoja tuwe na picha ya pamoja kuhusu mikopo.
Kwani kuna malalamiko makubwa yaliyo sasa ni kwamba mikopo mingi imechukuliwa nje ya Bajeti iliyopitishwa na Bunge kwa mujibu wa Sheria.
Gerald Hando leo amechukuliwa hatua kwa kuhoji kuhusu Mikopo, Ndugai aliondoka kwenye kiti ya Spika kwa sababu ya kuhoji mikopo, Luhaga Mpina alikatwa jina kugombea NEC kwa sababu alihoji mikopo bungeni.
View attachment 2464630
Majizo amfukuze kazi Hando, EFM ni kituo kizuri sana Cha Radio, tatizo Hando anaingia akiwa amelewa chakari halafu anaruhusiwa kuingia hewani, aweke vipimo vya kilevi mlangoni.
Na akianza kuweka kipimo hicho, akipita Hando, kitapiga alarm ambayo itafika mpaka Morogoro, na kipimo kinaweza kupiga shoti hapohapo na kuharibika
Mimi Chadema mkuu, nasimamia ukweli tuOneni hii mbuzi ya ccm inavoharisha
Pelekeni ushenzi wenu hukoWatakujibu Bavicha wenzako
Ila ndiyo hivyo sasa. Atatolewa kafara kama alivyofanyiwa Job Ndugai. Kisa tu na yeye kaongea ukweli.Gerald Hando hana kosa
Common sense is not common, ndio maana hunaNOSENSE