EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Punguza hasira mkuu,, huyu hando sijui future yake itakuaje,, yaani kishakua, "NIGUSE UNUKE"
 
Kwa kosa lipi?

Yale ni maoni yake binafsi.Hapendi kukopa kopa kwa watu.
Wapo watu pia wanaopenda kukopa kopa
 
Namkumbuka mzee wa mabwepande.

Lakini enzi ya jiwe hizi mambo Ni Kama zilipigwa muhuri Kaka,au tuseme sisiem Siyo watu wazuri na siyo watu wa kuwaamini.
Kwahiyo mkuu kwa mfano ingekuwa kipindi cha Magufuli halafu Hando akatoa mawazo kama hayo ingekuaje?
 

denooJ wewe ndiye completely huelewi...!!

Tatizo lako liko hapa...

Unadhani EFM na TVE ni chama cha siasa kama CCM au CHADEMA ambako watu huenda kule Kwa hiari zao...

Nevertheless, hata huko kwenye vyama hivyo vya siasa ambazo ni taasisi za kidemokrasia za hiari, kuna principles & guidelines ambazo huwa guide registered members wao ktk kuenenda kwao...

Labda huko ndiko unakoweza kupeleka hoja yako hii ya "uhuru wa kujieleza" usio na mipaka japo ktk mazingira fulani ukivuka mipaka fulani wenzako wakiamua wanaweza kukula kichwa vilevile..!

EFM/TVE aliko Gerald Hando is very unlike...

Huko alikwenda mwenyewe kuomba kazi. Akawa na sifa akaipata. Mwisho wa siku alifunga na mkataba wa kazi ambamo ndani yake kuna HAKI na WAJIBU wako na upande mwingine DO na DON'T kibao..

Alikubaliana, akasonga mbele..

Kwenye vyama vya siasa hakuna mikataba ya kisheria kufunga universal members with exception of few who are in leadership & adminisrative positions kama wajiriwa wa taasisi under pensionable or contractual terms...

Otherwise, huko 99.99% ya members huenda Kwa uhiari wao na hawafungwi na terms zozote za kisheria isipokuwa haki na makatazo ya jumla ya kikatiba na sheria za nchi..

Huko ndo tumia uhuru wako kukosoa lolote kwenye chama chako....

Ndiyo Sasa tunasema, hata huko nako kama uko kwenye leadership positions, hakuna uhuru huo unaoupigia debe unless uendelee kubisha tu for the sake ya kubisha tu...!
 
Wewe umeuona mkataba wa kazi wa Hando?
 
Amtafute Msigwa alipo waungane,wawe wanaharakati huru. Itakua perfect combination.
 
Wewe umeuona mkataba wa kazi wa Hando?
Achilia mbali Mimi kuuona au kutokuuona, wewe unadhanije kwani...?

Kwa maoni yangu, kama wewe umeenda shule, nadhani huwezi kuuliza swali hili so long as unakubali kuwa Hando ni mwajiriwa wa EFM/TVE...!!
 
Nonsense!.
Nothing is "nonsense" bro...

Kila maoni ya mtu humu in one way or another have some senses..

Hata wewe kuandika tu hili neno "nonsense", there are some senses in you...

Gerald Hando kiukweli ametoa maoni yake na ni haki yake...

Tatizo lake kubwa ni ametolea maoni yake ktk platform isiyo sahihi..

Hata hao EFM/TVE problem yao na mtu wao kiuhalisia ni hilo na wala siyo uhuru wake wa kutoa maoni...

Yaani EFM/TVE labda wanashindwa tu kusema "...Hando, sisi hatuna shida na maoni yako. Ulichokosea ni kutumia microphone 🎤🎤 za Radio/TV yetu kusema ulichosema Kwa sababu si mahali sahihi..."

Ndiyo maana ktk statement yao EFM/TVE wanasema, "...hayo ni maoni yake na si msimamo wa EFM/TVE...!"
 
Achilia mbali Mimi kuuona au kutokuuona, wewe unadhanije kwani...?

Kwa maoni yangu, kama wewe umeenda shule, nadhani huwezi kuuliza swali hili so long as unakubali kuwa Hando ni mwajiriwa wa EFM/TVE...!!
Bila kufahamu mkataba wake wa kazi unasemaje ni ngumu kujua kama Efm wako sahihi kwa hatua waliyochukua dhidi ya Hando au la.
 
Bila kufahamu mkataba wake wa kazi unasemaje ni ngumu kujua kama Efm wako sahihi kwa hatua waliyochukua dhidi ya Hando au la.
Narudia tena kuuliza, kwamba, kwani lazima uuone?

Kuna mwajiriwa yeyote hufanya kazi pasipo makubaliano na aliyemwajiri ya mdomo au ya maandishi ambayo yanaitwa mkataba..?

Na kama umeenda shule, utaelewa tu kuwa, ni ndani ya mkataba wowote ndiyo huifunua taasisi au kampuni kisera, malengo, muelekeo, haki, WAJIBU, rewards (negative & positive) nk nk..

Ndiyo maana nakuambia, some things just need common senses to understand and judge them unless uwe hujaenda shule...!
 
Tatizo lako kubwa you are "a functional illiterate" you are failing to analyse things. Cha kujiuliza ni kwamba je katika hicho alichokifanya Hando je ni mojawapo ya "Don'ts" katika mkataba wake ? Au Efm wamekurupuka tu sababu ya kulinda ugali wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…