Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Noma sana !Mleta Mada ameuliza vizur Ila wachangiaji ni wakiwaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana !Mleta Mada ameuliza vizur Ila wachangiaji ni wakiwaki.
UchocheziKwani kosa la Hando ni lipi ndugu ?
Punguza hasira mkuu,, huyu hando sijui future yake itakuaje,, yaani kishakua, "NIGUSE UNUKE"Hakuna popote Hando aliposema anatoa yale maoni yake kama mfanyakazi wa EFM, alitoa maoni yake personally, na hii angeifanya popote iwe twitter au pengine..
Abovw all, kuna kampuni zinatengeneza robots, nendeni huko mkatengenezewe wafanyakazi muwa set vile mtakavyo, lakini kulazimisha mwanadamu mwenye upeo awe na tabia za robots ni ujinga.
Uchochezi ni nini ?Uchochezi
Riziki hutoka kwa Mungu , huyo Majey mwenyewe hadithi yake yote tunaijuaPunguza hasira mkuu,, huyu hando sijui future yake itakuaje,, yaani kishakua, "NIGUSE UNUKE"
Kwa kosa lipi?Wote tunafahamu kuhusu Timbwili la Haki ya kutoa maoni lililoletwa na Mtangazaji wa EFM, Gerald Hando, hakuna haja ya kurudia kuleta tena hapa, Na kwamba Waajiri wake ambao ni EFM wametoa taarifa kwamba tayari Mzalendo Hando amechukuliwa Hatua.
Sasa swali letu ni dogo tu, NI HATUA GANI AMBAZO HANDO AMECHUKULIWA? Amefutwa kazi, amesimamishwa kazi, amepigwa faini, amewekwa selo, ameshitakiwa, amesimamishiwa Mshahara wake au ni vipi?
Ni vema Maswali haya yakajibiwa ili jamii iwe na uhakika na Usalama wake, Tusije tukawa kimya kumbe Raia mwenzetu yuko mahali anateswa.
View attachment 2465898
Kwahiyo mkuu kwa mfano ingekuwa kipindi cha Magufuli halafu Hando akatoa mawazo kama hayo ingekuaje?Namkumbuka mzee wa mabwepande.
Lakini enzi ya jiwe hizi mambo Ni Kama zilipigwa muhuri Kaka,au tuseme sisiem Siyo watu wazuri na siyo watu wa kuwaamini.
Uchochezi upi ?Uchochezi
Angezimwa Kama taa.Kwahiyo mkuu kwa mfano ingekuwa kipindi cha Magufuli halafu Hando akatoa mawazo kama hayo ingekuaje?
Kama kweli hushangai kwa ujinga uliofanywa na Majizzo, basi bado una mawazo ya kitumwa sana kichwani.
Hizi mentality zenu zinawaonesha vile bado mna mentality mgando zilizojaa mawazo ya kutawaliwa tu, kwenu mtu akifanya kazi mahala fulani lazima awe na mawazo sawa na bosi wake, hata kama kufanya hivyo ni kwenda kinyume cha sheria za nchi.
Kwa huu ujinga wenu, mnachochea moto wa uvunjifu wa sheria, halafu ukikolea kwa wapinzani kunyimwa haki yao ya kufanya mikutano ya siasa, mnaanza kuhangaika kutaka kuuzima moto mliouwasha wenyewe!.
Nonsense.
Wewe umeuona mkataba wa kazi wa Hando?denooJ wewe ndiye completely huelewi...!!
Tatizo lako liko hapa...
Unadhani EFM na TVE ni chama cha siasa kama CCM au CHADEMA ambako watu huenda kule Kwa hiari zao...
Nevertheless, hata huko kwenye vyama hivyo vya siasa ambazo ni taasisi za kidemokrasia za hiari, kuna principles & guidelines ambazo huwa guide registered members wao ktk kuenenda kwao. Huko ndiko unakoweza kupeleka hoja yako hii ya "uhuru wa kujieleza" usio na mipaka...
EFM/TVE aliko Gerald Hando is unlike. Huko unakwenda mwenyewe kuomba kazi. Kama una sifa na kazi ipo, utapata. Likely mwisho wa siku utafungwa na mkataba wa kazi yako hio ambmo ndani yake kuna HAKI na WAJIBU wako na upande mwingine DO na DON'T kibao..
Ukikubaliana, songa mbele.
Kwenye vyama vya siasa hakuna contacts za kisheria unless labda uwe kwenye ofisi kama mwajiriwa wa taasisi under pension or contractual terms...
Otherwise, huko 99.99% ya members huenda Kwa uhiari wao na hawafungwi na terms zozote za kisheria ukiachilia mbali haki na makatazo ya jumla ya kikatiba na sheria za nchi..
Huko ndo tumia uhuru wako kukosoa lolote kwenye chama chako. Lakini ndiyo tunasema, hata huko kama uko leadership ship positions, uhuru wako una mipaka...
Achilia mbali Mimi kuuona au kutokuuona, wewe unadhanije kwani...?Wewe umeuona mkataba wa kazi wa Hando?
Nothing is "nonsense" bro...Nonsense!.
Bila kufahamu mkataba wake wa kazi unasemaje ni ngumu kujua kama Efm wako sahihi kwa hatua waliyochukua dhidi ya Hando au la.Achilia mbali Mimi kuuona au kutokuuona, wewe unadhanije kwani...?
Kwa maoni yangu, kama wewe umeenda shule, nadhani huwezi kuuliza swali hili so long as unakubali kuwa Hando ni mwajiriwa wa EFM/TVE...!!
Narudia tena kuuliza, kwamba, kwani lazima uuone?Bila kufahamu mkataba wake wa kazi unasemaje ni ngumu kujua kama Efm wako sahihi kwa hatua waliyochukua dhidi ya Hando au la.
Tatizo lako kubwa you are "a functional illiterate" you are failing to analyse things. Cha kujiuliza ni kwamba je katika hicho alichokifanya Hando je ni mojawapo ya "Don'ts" katika mkataba wake ? Au Efm wamekurupuka tu sababu ya kulinda ugali wao?Narudia tena kuuliza, kwamba, kwani lazima uuone?
Kuna mwajiriwa yeyote hufanya kazi pasipo makubaliano na aliyemwajiri ya mdomo au ya maandishi ambayo yanaitwa mkataba..? Na kama umesoma kwenye mkataba wowote ndiyo huifunua taasisi au kampuni kisera, malengo, muelekeo nk nk..
Ndiyo maana nakuambia, some things just need common senses to understand and judge them unless uwe hujaenda shule...!
Kwamba angeuliwa au kutekwa?Angezimwa Kama taa.