EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Wapumbavu kama jf tu siku hizi rostam azizi anamiliki mamlaka hapa jf ...ukisema ukweli unapigwa ban bila ya sababu za msingi.
 
Majizzo anaogopa tochi la serikali, kwenye kodi, kutakatisha pesa n.k
 
KAMA Maoni yake ni MSIMAMO wake kwanini Achukuliwe HATUA?
 

Halafu mnahadaa watu eti Samia karejesha uhuru wa kujieleza. Kumbe huo uhuru wa kujieleza ni wa kusifia tu. Sasa hapo tofauti yake na Magufuli ni ipi zaidi ya jinsia?
 
Kipindi Cha kikwet Mambo yalikuwa nafuu. Ila alipoingia mwendazake akaanza kuwa deal akina Horest Kawawu na Salum Mkambala huo UkAWA mwisho
Kipindi cha Kikwete safu ya media personality zetu ilikuwa ni:

Asubuhi: ZEMBWELA BEBERU, professional comedian

Mchana: EPHRAHIM KIBONDE, mshereheshaji wa maharusi

Usiku: Nightly news with CHARLES HILLARY, football presenter from the 80s

Hawa watu hawakuwa scholastically equipped kuwa wachambuzi wa masuala ya kitaifa.

Kama Magufuli aliua media na media landscape yenyewe ndio hii ya waandishi wa JAHAZI show, then he was beating on a dead horse.
 
Mi mbona sioni kosa lake jmni mbona ivo hii tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Mwamba wamemchonganisha na serikali
 
Uhuru wa kujieleza u wapi kama ambavyo katiba imeutaja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…