yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,520
- 4,526
Kama cr7?When you stand for the truth ,you stand alone .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama cr7?When you stand for the truth ,you stand alone .
Eti Wanapiga Magoti WanasujuduMedia uchwara za Bongo..
Amfukuze kisa kashindwa kuabudu Mama?Majizo amfukuze kazi Hando, EFM ni kituo kizuri sana Cha Radio, tatizo Hando anaingia akiwa amelewa chakari halafu anaruhusiwa kuingia hewani, aweke vipimo vya kilevi mlangoni.
Na akianza kuweka kipimo hicho, akipita Hando, kitapiga alarm ambayo itafika mpaka Morogoro, na kipimo kinaweza kupiga shoti hapohapo na kuharibika
Amfukuze kwa sababu ni mtu wa hovyoAmfukuze kisa kashindwa kuabudu Mama?
Literature za wakati wa Nyerere zinaonesha hali ilikuwa mbaya ila wengi hawakiwa wasomi kwa hiyo hawakusense kwamba hawana uhuru. Tena walisakwa wakakimbia nchi... mfano ni Ludovick MwijageMkuu,
Haya mambo yalikuwapo tangu enzi za Nyerere.
Watu walifungwa kwa kumkosoa rais. Mpaka vyama vingi vikafutwa.
Haya hayakuanza na Magufuli.
Magufuki kaja kufanya kijinga tu mpaka kipofu kaona.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo aliyo kunywa sio pombe itakua nyongo ya mamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh!!Majizo amfukuze kazi Hando, EFM ni kituo kizuri sana Cha Radio, tatizo Hando anaingia akiwa amelewa chakari halafu anaruhusiwa kuingia hewani, aweke vipimo vya kilevi mlangoni.
Na akianza kuweka kipimo hicho, akipita Hando, kitapiga alarm ambayo itafika mpaka Morogoro, na kipimo kinaweza kupiga shoti hapohapo na kuharibika
Always, Big Brother is watchingHivi Hando alitukana? Ameua au? Msimamo wa taasisi ni upi?
George Orwell kwnye kitabu cha 1984 alisema
"And if all others accepted the lie which the Party imposed—if all records told the same tale—then the lie passed into history and became truth"
Ukweli umekua uongo,na uongo ukweli.
Walamba makanyagio hao, mtu katoa maoni yake wao wateseka na nini?Media uchwara za Bongo..
Mkuu,enzi ya kikwete angalau Uhuru ulikuwepo tofauti na alipoingia Magufuli,japo haikuwa kwa % Mia ila angalau wakosoaji hawakupata misukosuko Kama enzi za jiwe na mwendelezo Hadi Sasa enzi ya mama.
Katika Hilo angalau tuseme ukweli. Nakuhakikishia kwa alichosema Hando na Ndugai ingekuwa enzi ya kikwete Wala kusingetokea yaliyotokea.
HahahaTangazo la kuchukuliwa hatua Gerald Hando kuhusu nchi kukopa kopa linatolewa MSATA-CHALINZE- PWANI inafikirisha sana
Katiba ya nini vituo vya afya, mabarabara, madaraja, Kila mahali maendeleo, hayo makaratasi ya katiba hatuyataki
Kwani uongo?!Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopokopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.
Kwani Hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.
View attachment 2464611
"Mnafurahisha" kweli ni ninyi! Mazuri yake mabaya ya yule!....mama anaendeleza. Hovyo kabisa
Kabla ya Magufuli media ganii ilikuwa inaichana serikali ????
Lini Tanzania imewahi kuwa na free press ????