Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Lakini haya mengine hatujui kama wanasakamwa na serikali, au wanajipendekeza wenyewe tu kwa self censorship.Nilimpenda Magufuli kwenye mambo mengi lakini kwenye hili la kupenda kusifiwa tu ameharibu Sana mfumo. Nchi imegeuka ya hovyo mtu akikosoa tu anaonekana adui,atasakamwa na kesi za uhujumu nchi atapewa.
Mama amerithi na kuiendeleza tabia mbovu na ya hovyo Sana.