EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Rip Magufuli

Rip Pope Benedict XVI

Rip Pele

Umemsahau Malkia Elizabeth, waliobakia wote sasa hivi ni satanic, Dunia imekwisha, Pope, Malkia Elisabeth ndiyo waliokuwa wanazuia ushetani sasa wote wameenda, satanic system inaongoza, thermal war is coming in Europe hakuna wa kuzuia, wengi hawajui nini kinaendelea Duniani, tunaishi katika wakati mgumu na hatari klk wakati wowote ule, satan in control.

Tanzania haijawahi kuwa hivi tangia kuanzishwa kwake, na bado wengi hawajui what is coming, Diamond kapigwa mamilioni siajabu labda kakataa tu uchawa, na Diamond ni Muislamu hivyo no
one is safe, …
 
Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopokopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavosema.

Kwani hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.

View attachment 2464611
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, mfanyabiashara lazima ajikombe kwa Serikali, Hando angefanya vile kwenye private page yake na sio kwenye Ile platform
 
Pamoja na uhuru wake na mimi kama mdau nilipenda ujumbe wake ila platform aliotumia inakinzana na uhuru binafsi. Japo ukimtizama akizungumzia maoni yake hakuwa na lugha mbaya wala dhihaka kwahio he wasn't that much against anyone.
Itoshe kusema Uhuru na Umoja ndio ngao zetu je tunazitumia wapi na wakati gani na uhuru huo ni upi? Labda kama ni kunyanduana me na ke.
 
Kosa la Hando mi naona ni kuhoji mikopo kwenye media maana sidhani kuna mbongo asiehoji mikopo kwa kusema vijiweni au hata moyoni!

Hata huyo Majizu nae moyoni anahoji maana mikopo imezidi tutauzwa one day Job alishasoma ramani long fucking ago na kuamsha popo wote wa bongo!

Mikopo imezidi huku umeme unakatwa na Maropu, maji shida, ajira hamna kwa vijana, Nyerere Dam inahujumiwa ,haijulikani lini itakamilika, SGR inasua sua , mikopo halmashauri ni siasa tu , stori za Sirikali za matumizi ya mikopo ni kujenga madarasa na zahanati tu!nothing else!

muhimu sirikali ianze kutoa taarifa kwa umma matumizi yanayoonekana ya mikopo!
 
Ukosoaji na mawazo mbadala vilizikwa rasmi na jiwe.
Poor us.
 
1672504837949.png

Kwahiyo angeyasema hayo mgeni aliyealikwa kwenye mjadala still mngeomba radhi au stesheni zenu ni za kusifu na kuabudu na siyo kufikisha ujumbe mahali husika

Redio za mitazamo ya uhuru na mzalendo hazifai kwa zama hizi
 
Majizo amfukuze kazi Hando, EFM ni kituo kizuri sana Cha Radio, tatizo Hando anaingia akiwa amelewa chakari halafu anaruhusiwa kuingia hewani, aweke vipimo vya kilevi mlangoni.

Na akianza kuweka kipimo hicho, akipita Hando, kitapiga alarm ambayo itafika mpaka Morogoro, na kipimo kinaweza kupiga shoti hapohapo na kuharibika
Ujinga
 
Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopokopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavosema.

Kwani hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.

View attachment 2464611
Unaelewa maana ya Siasa?hukumbuki kilichomkuta ndugai?
Kauli ya hando ni ukweli mtupu,ila imegonga mshono wa Samia,na serikali yake,wapambe wake,na majizi yote kutoka familia za maraisi waliopita,
Kwa hasira zao ccm,wanaweza wakatuma TRA watengeneze kesi dgidi ya Efm,au mtu anaweza akanyanganywa passport kuwa sio raia.
Majizo analinda biashara yake,nchi Iko captured,ukiwahuzi majizi ya Ikulu lazima yatanyooka na wewe!
 
Hando ni NDULi kama Idd Amin, na amekuja kisiasa, atashughulikiwa kisiasa, yaani ataanza kutumia redio yake ya nyumbani kutangaza.
 
Gerald Hando was very right kutoa maoni yake. Madeni yanatuumiza. Mbaya zaidi mikopo tuna share 50-50 na Zanzibar, lakini mzigo wa ulipaji ni wa Tanganyika
Yupo sahihi,lakini alisema yaliyo sahihi wakati usio sahihi,au kupitia njia isiyo sahihi.
Nani hajuhi kuwa hii serikali haitaki kukosolewa?ukiikosoa,unaweza kupotezwa(Ben saanane),au kufukuzwa kazi(ndugai na meneja wa trc dar).
Kama walimtenda vile spika wa bunge!!sasa Hawa simple guys Efm,si watazikwa kabisa!
Shule alitoanzisha Polepole iliishia wapi?walitumwa tcra kuishughurikia ikafungwa!
Hebu fikiria Efm ikifungwa,au kupigwa faini,au ikinyimwa matangazo na serikali,wamiriki wakaamua kufunga biashara,ajira ngapi zitapotea?
Wazeni kwa mapana wabongo!!
Wabongo wengi ukipigiwa cm tu unahitajika kituo Cha polisi,mishuzi inaanza kutoka,sembuse ku cross pass na deep state!!!
 
Inabidi ajiuzulu kutoka kwenye nafasi yake kama Ndugai....hili suala la mikopo halitakiwi kuongelewa vibaya... anarudisha nyuma kasi ya maendeleo🐒
 
Yupo sahihi,lakini alisema yaliyo sahihi wakati usio sahihi,au kupitia njia isiyo sahihi.
Nani hajuhi kuwa hii serikali haitaki kukosolewa?ukiikosoa,unaweza kupotezwa(Ben saanane),au kufukuzwa kazi(ndugai na meneja wa trc dar).
Kama walimtenda vile spika wa bunge!!sasa Hawa simple guys Efm,si watazikwa kabisa!
Shule alitoanzisha Polepole iliishia wapi?walitumwa tcra kuishughurikia ikafungwa!
Hebu fikiria Efm ikifungwa,au kupigwa faini,au ikinyimwa matangazo na serikali,wamiriki wakaamua kufunga biashara,ajira ngapi zitapotea?
Wazeni kwa mapana wabongo!!
Wabongo wengi ukipigiwa cm tu unahitajika kituo Cha polisi,mishuzi inaanza kutoka,sembuse ku cross pass na deep state!!!
Yeah
 
Wala siyo inshu ya media uchwara mkuu.

Hii nchi imefika wakati mkosoaji anaonekana Ni adui wa taifa. Majizo amepima upepo tunakoelekea media yake itawekewa vikwazo vya kimya kimya Hadi afulie... kajiwahi!!

Mambo ya kupenda kusifiwa bila kukosolewa kuliasisiwa na Magufuli, mama anaendeleza. Hovyo kabisa.
Hatari kweli kweli
 
Back
Top Bottom