Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapumbavu kama jf tu siku hizi rostam azizi anamiliki mamlaka hapa jf ...ukisema ukweli unapigwa ban bila ya sababu za msingi.Uongozi wa E-FM umetangaza kumchukulia hatua Gerald Hando kutokana na kauli yake aliyoitoa kupitia E-FM kuwa hapendi Serikali inavyokopakopa hovyo na kusababisha ugumu wa maisha.
Hili suala la Mikopo ya Serikali ni jana tu hapa tulijadili sana kwamba Bunge liitake Serikali ije na maelezo ya mikopo iliyochukua kama ina baraka za Bunge au laa ili wananchi wote pamoja tuwe na picha ya pamoja kuhusu mikopo.
Kwani kuna malalamiko makubwa yaliyo sasa ni kwamba mikopo mingi imechukuliwa nje ya Bajeti iliyopitishwa na Bunge kwa mujibu wa Sheria.
Gerald Hando leo amechukuliwa hatua kwa kuhoji kuhusu Mikopo, Ndugai aliondoka kwenye kiti ya Spika kwa sababu ya kuhoji mikopo, Luhaga Mpina alikatwa jina kugombea NEC kwa sababu alihoji mikopo bungeni.
View attachment 2464630
Huyo ziro. Usijisumbue naye.Maadili gani aliyokiuka mkuu?
Asa magufuli kaingiaje apo. Lawama zingine za kifalaTatizo lilianzia kwa Magufuli hili. Nchi imekuwa ya hovyo Sana.
Hata Mungu anakosolewa sembuse sisiem.
Pope naye udongo umemchukua?Rip Magufuli
Rip Pope Benedict XVI
Rip Pele
Gerald aende likizo ya lazima .....Ana stress huyo
Sema ufungwe mpka gereza libomoke kma paulo na silaNi hatari sana kwa Taifa letu.
Katiba ya nini vituo vya afya, mabarabara, madaraja, Kila mahali maendeleo, hayo makaratasi ya katiba hatuyataki
Kwa hiyo samia hana akili ya kujisimamiaKuna njia Magufuli aliianzisha,Samia anapita njia hiyohiyo.
Ref kesi ya ugaidi ya mbowe
Majizzo anaogopa tochi la serikali, kwenye kodi, kutakatisha pesa n.kKiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopokopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.
Kwani Hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.
View attachment 2464611
KAMA Maoni yake ni MSIMAMO wake kwanini Achukuliwe HATUA?Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopokopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.
Kwani Hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.
View attachment 2464611
Majizo amfukuze kazi Hando, EFM ni kituo kizuri sana Cha Radio, tatizo Hando anaingia akiwa amelewa chakari halafu anaruhusiwa kuingia hewani, aweke vipimo vya kilevi mlangoni.
Na akianza kuweka kipimo hicho, akipita Hando, kitapiga alarm ambayo itafika mpaka Morogoro, na kipimo kinaweza kupiga shoti hapohapo na kuharibika
Kipindi cha Kikwete safu ya media personality zetu ilikuwa ni:Kipindi Cha kikwet Mambo yalikuwa nafuu. Ila alipoingia mwendazake akaanza kuwa deal akina Horest Kawawu na Salum Mkambala huo UkAWA mwisho
Mwamba wamemchonganisha na serikaliKiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopokopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.
Kwani Hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.
View attachment 2464611
Brooo nikwamba majizoo hana kosa wala maana nikweli kajisemea binafsi yakeMwamba wamemchonganisha na serikali