eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

IMG-20241228-WA0004.jpg

Nimeanza harakati za kupata hizi pack.
 
😂😂😂Kawaida mkuu, mara nyingi nakutana nao na Wana block mipira hatare.
Mkuu hao jamaa ilikuwa kila nikijiandaa kupiga pasi nakuta tayari nishapokonywa mpira baada ya game 2 za mwanzo nikasema hapa bora nicheze pira matokeo nikawa natumia mipira mirefu 😂
 
Mkuu hao jamaa ilikuwa kila nikijiandaa kupiga pasi nakuta tayari nishapokonywa mpira baada ya game 2 za mwanzo nikasema hapa bora nicheze pira matokeo nikawa natumia mipira mirefu 😂
😂😂Hukukimbia mkuu
 
Kupokea 5g hakukimbiliki ukikutana na mpinzani imara ila kipindi cha kwanza umekula 3 na bado kinaendelea kuendelea kukaza fuvu mpaka dakika ziishe itakuwa hatari zaidi 😂
😂😂 Leo nineingia division 4 game 3 za mwanzo nikapigwa imenibidi nitulie kwanza
 
Back
Top Bottom