eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Screenshot_20240727_021506_TikTok.jpg
 
Nina experience nalo hili game yaani ndani ya siku moja MB 500+ zinaisha

Bado zile update zao za kila siku
Mkuu hilo game unalocheza labda siyo efootball, kuna wastani wa MB 60+ kwa saa 1 na ndani ya hilo saa haizidi MB 100.
 
Back
Top Bottom