eFootball Special Thread

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kawaida mkuu, mara nyingi nakutana nao na Wana block mipira hatare.
Mkuu hao jamaa ilikuwa kila nikijiandaa kupiga pasi nakuta tayari nishapokonywa mpira baada ya game 2 za mwanzo nikasema hapa bora nicheze pira matokeo nikawa natumia mipira mirefu ๐Ÿ˜‚
 
Mkuu hao jamaa ilikuwa kila nikijiandaa kupiga pasi nakuta tayari nishapokonywa mpira baada ya game 2 za mwanzo nikasema hapa bora nicheze pira matokeo nikawa natumia mipira mirefu ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hukukimbia mkuu
 
Kupokea 5g hakukimbiliki ukikutana na mpinzani imara ila kipindi cha kwanza umekula 3 na bado kinaendelea kuendelea kukaza fuvu mpaka dakika ziishe itakuwa hatari zaidi ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Leo nineingia division 4 game 3 za mwanzo nikapigwa imenibidi nitulie kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ