eFootball Special Thread

Mkuu kama unazo coins za kutosha nenda kachukue manager kulingana na playstyle yako utakuja nishukuru, achana na hao managers wakununua kwa kutumia GP.
Nilikuwa nazo na nilikuwa nawaza hivyo ila nimeunua hiyo premium kwa tamaa ya palmer๐Ÿ˜‚. ebu nitafute wiki lijalo nimnunue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ