eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Screenshot_2025-01-29-23-27-32-50_dacb6cb66c1ceaabd92782c8217a74fb (1).jpg
Screenshot_2025-01-29-23-27-45-65_dacb6cb66c1ceaabd92782c8217a74fb (1).jpg

Kamchukue huyu jamaa hao wachezaji wote watapanda na strength ya team itaongezeka
 
Mkuu kama unazo coins za kutosha nenda kachukue manager kulingana na playstyle yako utakuja nishukuru, achana na hao managers wakununua kwa kutumia GP.
Nilikuwa nazo na nilikuwa nawaza hivyo ila nimeunua hiyo premium kwa tamaa ya palmer😂.
1000016168.png
ebu nitafute wiki lijalo nimnunue.
 
Back
Top Bottom