Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 337
- 753
Mkuu nipe username yako ya efootball nikutumie friend request.Dls nimelisahau napamban na E football...
Kukaba changamoto sana na kupiga cross
Itabid tupate mechi ya kirafiki siku nijifunze kitu
Nipe tena username yako mkuu.
Mkuu nakutumia friend request aisee nyie ndiyo watu wakutupa maujuzi huko π.Beckenbauer mnyana sana na Belletti mfukuza upepoπView attachment 3237265
Mkuu unajiogopa tu we tafuta coins kwenye events halafu kitu cha kwanza nunua kocha kwenye special packs halafu taratibu tafuta coins kwaajili ya kuchukua wachezaji.Duh kufika huku nadhani ni baada ya mwaka
Mwanzoni ali nisumbua, Sasa hivi ana heshima ππHalaand ps namchukia akidhika mipira tu goalπ₯
Uki cheza versus, timu zinazo cheza Zina somana kila mechi.Unajua kumkabaπ
hahaha, mfanyie mazoezi, hakikisha pasi hazi vuki nusu ya uwanja.Mimi ananishinda asee, π
Nimekutumia friend request mkuu.
Tayari mkuu japo imenibidi kuangalia post za nyuma, jina umelikosea hapo.Edo kissy
Sawa nikiingia nita acceptNimekutumia friend request mkuu.
Ufupisho wa username ni PM.
Sawaa mkuuMkuu unajiogopa tu we tafuta coins kwenye events halafu kitu cha kwanza nunua kocha kwenye special packs halafu taratibu tafuta coins kwaajili ya kuchukua wachezaji.
MyunaniMkuu nipe username yako ya efootball nikutumie friend request.
Tayari mkuu.
Nimeona mkuu kikosi chako ni balaaπππTayari mkuu.
Dah hii imezidi sasa mkuu πNimeona mkuu kikosi chako ni balaaπππ
Nimeangalia nikasema kimoyo moyo niache ujinga hakuna kutoa codeππDah hii imezidi sasa mkuu π