eFootball Special Thread

Mie ndo naitumia hiyo sitaki kupanga wachezaji mwenyewe maana nitapanga kwa mapenzi binafsi badala ya kupanga kwa mahitaji ya timu.
Kwa division games autopick haifai inatakiwa uchague wachezaji kutokana na form zao kuna A B C D na kuangalia arrow. Mchezaji akiwa na form chini ya C na down arrow hutakiwi kumpanga anacheza vibaya.

Ndio maana ni muhimu kuwa na kikosi kipana
 
Nimekupata.
 
Hii nilikuwa sijui nimeona kumbe kuna game unafungwa kisa wachezaji hawakuwa form

Mkuu nataka nimchukue Joshua Kimmich kama Another Dm vip anaweza akawa Anchorman au nae ni box to box Dm...??
 
Kimmich ni Orchestrator kama guardiola anacheza pembeni ya namba 6 ni kama namba 8. Atakua sub ya Guardiola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…