Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 337
- 753
Pamoja.Shukran sana chief...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja.Shukran sana chief...
Ngoja niingie 😂Kama upo free tupashe😃
Sijawai cheza hili gemu kwa hiyo sijui vitu vingi..Ngoja niingie 😂
Yeah autopick ni nzuri kama ana wachezaji wengiUshauri wa ziada atumie autopick playars hii inasaidia kupanga kikosi kulingana na formation pamoja na playstyle unayotumia.
Mie ndo naitumia hiyo sitaki kupanga wachezaji mwenyewe maana nitapanga kwa mapenzi binafsi badala ya kupanga kwa mahitaji ya timu.Yeah autopick ni nzuri kama ana wachezaji wengi
Poa mkuuSijawai cheza hili gemu kwa hiyo sijui vitu vingi..
Kwa hiyo nikikwama nitakuwa nakuja huku chap maana hata kuunganisha sijawai
Kwa division games autopick haifai inatakiwa uchague wachezaji kutokana na form zao kuna A B C D na kuangalia arrow. Mchezaji akiwa na form chini ya C na down arrow hutakiwi kumpanga anacheza vibaya.Mie ndo naitumia hiyo sitaki kupanga wachezaji mwenyewe maana nitapanga kwa mapenzi binafsi badala ya kupanga kwa mahitaji ya timu.
Nimekupata.Kwa division games autopick haifai inatakiwa uchague wachezaji kutokana na form zao kuna A B C D na kuangalia arrow. Mchezaji akiwa na form chini ya C na down arrow hutakiwi kumpanga anacheza vibaya.
Ndio maana ni muhimu kuwa na kikosi kipana
Sijawai cheza hili gemu kwa hiyo sijui vitu vingi..
Kwa hiyo nikikwama nitakuwa nakuja huku chap maana hata kuunganisha sijawai
Mkuu nilipigiwa simu nimelud nimekuta upo offlineView attachment 3239089
Mkuu nimekusubiri tupige game ya pili kumbe ukawa umetoka tayari, nimeshinda lakini sijafurahia 😂.
Kama upo tuludi tena 😃naona unataka unipige nyingi😂😂View attachment 3239089
Mkuu nimekusubiri tupige game ya pili kumbe ukawa umetoka tayari, nimeshinda lakini sijafurahia 😂.
Hii nilikuwa sijui nimeona kumbe kuna game unafungwa kisa wachezaji hawakuwa formKwa division games autopick haifai inatakiwa uchague wachezaji kutokana na form zao kuna A B C D na kuangalia arrow. Mchezaji akiwa na form chini ya C na down arrow hutakiwi kumpanga anacheza vibaya.
Ndio maana ni muhimu kuwa na kikosi kipana
Kimmich ni Orchestrator kama guardiola anacheza pembeni ya namba 6 ni kama namba 8. Atakua sub ya GuardiolaHii nilikuwa sijui nimeona kumbe kuna game unafungwa kisa wachezaji hawakuwa form
Mkuu nataka nimchukue Joshua Kimmich kama Another Dm vip anaweza akawa Anchorman au nae ni box to box Dm...??
Guardiola mpaka nikamilishe master card maana anauzwa elfu mbili ya kitanzania...Kimmich ni Orchestrator kama guardiola anacheza pembeni ya namba 6 ni kama namba 8. Atakua sub ya Guardiola
Njoo tupashe😭Kuna anaejiweza humu ?🥴😁
Mkuu upo?Kama upo tuludi tena 😃naona unataka unipige nyingi😂😂
TupasheMkuu upo?
Poa ngoja niingie hapa.Tupashe