eFootball Special Thread

Nimefika division 5 ila hali ya kikosi changu hairidhishi na nimejaribu mara kadhaa lakini kutoboa hapo imekuwa ngumu, wachezaji wanakuwa wazito katika utendaji.

Ngoja nipumzike hapa kwanza kwa muda nijitafute tena.
 
Kuna jipya gani kwenye game nina kama week mbili sijacheza. Kuna vitu naviweka sawa week ijayo mambo yakikaa sawa nitarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ