Egg chops

Hahaa kumbe hata wewe..mi huwa nakasirika sipiki tena naona like hiki kitu ni kigum
sikiwezi tena..hii imenifanya nisijue kupika mapishi mengi kwa kweli
 
Hahaa kumbe hata wewe..mi huwa nakasirika sipiki tena naona like hiki kitu ni kigum
sikiwezi tena..hii imenifanya nisijue kupika mapishi mengi kwa kweli

Hasira jikoni ndio hazifai shosti maana hata uwe mpishi mzuri vipi kuna siku utakosea tu....alafu pia ukijenga dhana kuwa hiki kitakuwa kibaya kinakua kibaya kweli kwa hiyo weee pika taratibu utaenjoy sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kachori nazo zina upuuzi ila nkupe ujanja mmoja ule uji weka na yai zinakua hazipasuki alafu utamu unazidi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ulishanipa huo ujanja ukhti,zilinitesa sana zile makitu kwa kweli!!!
Bado mkate wa tambi
 
Nshamwambia apike gunia zima maana mie ntaenda na tumbo tupu nkashibie huko huko lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Karibuni nyote tule na kusaza!!
 
Hahahaa yani nililia afu badae nikajicheka

mapishi haya

Kukosea ndo kujifunza mamangu..siku nyingine nachekwa..afu wananitia moyo nami najitahidi najikuta nafuzu..

Hapa nna vitabu vya mapishi..mara ya kwanza kupika pilau na chapati za kukanda nilifwata maelekezo ya kitabu na nikaweza

Hahaa kumbe hata wewe..mi huwa nakasirika sipiki tena naona like hiki kitu ni kigum
sikiwezi tena..hii imenifanya nisijue kupika mapishi mengi kwa kweli
 
Asante mydear. .Ila apo mayaini apo. .duh..Na no eggs no egg chop duh
 
Umenichekesha bibie mie bajia kila nikizidumbukiza kwenye mafuta zinatawanyika..nimeachana nazo kwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…