Egg chops

Egg chops

Nakumbuka wakati najifunza kupika sambusa/samosa..basi nikaandaa vitu vyangu..nikazifunga vizuri nkachemsha mafuta,yalivyopata moto nikaweka sambusa zangu,looh zikaanza kufunguka,mchanganyiko wote ukapanda juu...nililiaje? Kumbe ile chapati ilikuwa pana sana.. Kesho yake nikajaribu tena na tena mpaka nikafuzu

Kila kitu ni kujaribu na kutokata tamaa

Hahaa kumbe hata wewe..mi huwa nakasirika sipiki tena naona like hiki kitu ni kigum
sikiwezi tena..hii imenifanya nisijue kupika mapishi mengi kwa kweli
 
Hahaa kumbe hata wewe..mi huwa nakasirika sipiki tena naona like hiki kitu ni kigum
sikiwezi tena..hii imenifanya nisijue kupika mapishi mengi kwa kweli

Hasira jikoni ndio hazifai shosti maana hata uwe mpishi mzuri vipi kuna siku utakosea tu....alafu pia ukijenga dhana kuwa hiki kitakuwa kibaya kinakua kibaya kweli kwa hiyo weee pika taratibu utaenjoy sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kachori nazo zina upuuzi ila nkupe ujanja mmoja ule uji weka na yai zinakua hazipasuki alafu utamu unazidi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ulishanipa huo ujanja ukhti,zilinitesa sana zile makitu kwa kweli!!!
Bado mkate wa tambi
 
Nshamwambia apike gunia zima maana mie ntaenda na tumbo tupu nkashibie huko huko lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Karibuni nyote tule na kusaza!!
 
Hahahaa yani nililia afu badae nikajicheka

mapishi haya

Uwiiii!! Umenikumbusha mbali best,wakati najifunza kachori zilivyokuwa zinatawanyika.
Shida yangu mie napenda mno kucheka,ukisikia kicheko na niko mwenyewe jikoni ujue mambo yameshaharibika,nitacheka mpaka nitoe machozi ila kesho niajaribu tena!!!
Kutokata tamaa ndio siri kubwa
 
Kukosea ndo kujifunza mamangu..siku nyingine nachekwa..afu wananitia moyo nami najitahidi najikuta nafuzu..

Hapa nna vitabu vya mapishi..mara ya kwanza kupika pilau na chapati za kukanda nilifwata maelekezo ya kitabu na nikaweza

Hahaa kumbe hata wewe..mi huwa nakasirika sipiki tena naona like hiki kitu ni kigum
sikiwezi tena..hii imenifanya nisijue kupika mapishi mengi kwa kweli
 
Asante mydear. .Ila apo mayaini apo. .duh..Na no eggs no egg chop duh
 
Umenichekesha bibie mie bajia kila nikizidumbukiza kwenye mafuta zinatawanyika..nimeachana nazo kwanza..

Back
Top Bottom