Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Wawapende ili iweje?Kwanini na nyie msiwachukie?Egypt hapendi weusi
Hatuhitaji kupendwa tunataka maslahi yetu yalindwe tuu.Egypt hapendi weusi
Tunajua Sana shida ni uthubutu,keknolojia na vipaombele vya serikali ndio tatizo kuuMaji sisi tunayo tele ila hatujui matumizi yake
Wanaipeleka wapi ndugu? Kwani wakiichukua ndio Egypt itapata nafuu?Watigrei wanaichukua ethiopia
Wanachepushia Sudan Kusini.Pesa haina cha km wala niniKilomita ngapi kutoka mto Congo hadi kuifikia Nile?
Wa egypt wakikosa kabisa maji ya mto Nile, au yakipungua kiasi cha kuhatarisha maisha yao, wataishambulia Ethiopia.Habari zenu.
Baada ya mwanaume Ethiopia kupuuza vitisho na mikwara ya mbu nje ya net iliyokuwa ikitolewa na Egypt kwa Ethiopia Kuhusu kujaza maji kwenye Bwawa la Umeme,jamaa sasa wameamua kuiangukia Congo DRC.
Egypt sasa inapanga kutumia mabilioni ya dola kuwalipa wakongo Ili ijenge channel ya kuchepusha maji kutoka mto Congo na kuunga na Nile Ili waendelee kupata maji ya uhakika.
Hongera Sana Ethiopia kwa kuwa na msimamo wa kiume.Sasa Egypt wako bise na Bwawa la Umeme la stiglaz kama bribe ya kuihonga Tzn Ili eti tusitumie miradi mikubwa ya kuchota maji Ziwa Victoria.Kwa taarifa yao wanajisumbua.
Hiki hapa walichoamua Mafarao 👇👇
View attachment 1914421
Hii madhara yake kwa ziwa Victoria je?Wanachepushia Sudan Kusini.Pesa haina cha km wala nini
Kwani Ziwa Victoria linategemea maji ya mto Congo?Hii madhara yake kwa ziwa Victoria je?
Stori hizo mkuu ndio maana Ethiopia wamezopuuzaWa egypt wakikosa kabisa maji ya mto Nile, au yakipungua kiasi cha kuhatarisha maisha yao, wataishambulia Ethiopia.
Sio hawatupendi, mto Nile ni uhai wa Egypt.... ukigusa huo mto unaathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa EgyptEgypt hapendi weusi
Ndo umeguswa sasa wafanye wanachowezaSio hawatupendi, mto Nile ni uhai wa Egypt.... ukigusa huo mto unaathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa Egypt
Hawashindwi kumuonga mkongo, pesa wanayopiga Suez ni ndefuNdo umeguswa sasa wafanye wanachoweza
Sio hawatupendi, mto Nile ni uhai wa Egypt.... ukigusa huo mto unaathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa Egypt
ipo wazi kabisaHawawezi kuwawekea masharti Ethiopia kuhusu matumizi ya maji hayo. Ethiopia wana haki zote za kutumia maji hayo kwa maendeleo ya nchi yao.