Egypt imeigeukia kubembeleza Congo DRC Baada ya Ethiopia Kudinda kuhusu Bwawa la Umeme

Egypt imeigeukia kubembeleza Congo DRC Baada ya Ethiopia Kudinda kuhusu Bwawa la Umeme

Hawawezi kuwawekea masharti Ethiopia kuhusu matumizi ya maji hayo. Ethiopia wana haki zote za kutumia maji hayo kwa maendeleo ya nchi yao.
Sheria za kikoloni zinawapa haki zaid Misri na Sudan juu ya maji ya Mto Nile. Hata mradi wetu wa maji ya ziwa Victoria ilibid Misri waridhie, Rejea ziara za waziri wa Maji wa utawala wa Mkapa, Edward Lowassa nchini Misri.
 
Sheria za kikoloni zinawapa haki zaid Misri na Sudan juu ya maji ya Mto Nile. Hata mradi wetu wa maji ya ziwa Victoria ilibid Misri waridhie, Rejea ziara za waziri wa Maji wa utawala wa Mkapa, Edward Lowassa nchini Misri.
Sasa wataishia kushikilia mambo ya kikoloni sisi tunasonga mbele
 
Egypt kihistoria walisha kumbwa na tatizo la maji.. Waiegypt wakapoteza maisha, wanajua wasipo kuwa wapole maadui wao watatumia maji kama silaha kwao....
Matumjzi ya maji Egypt nimmoja kati miradi inayoingizia pesa nchi za kiarabu..
 
Habari zenu.

Baada ya mwanaume Ethiopia kupuuza vitisho na mikwara ya mbu nje ya net iliyokuwa ikitolewa na Egypt kwa Ethiopia Kuhusu kujaza maji kwenye Bwawa la Umeme,jamaa sasa wameamua kuiangukia Congo DRC.

Egypt sasa inapanga kutumia mabilioni ya dola kuwalipa wakongo Ili ijenge channel ya kuchepusha maji kutoka mto Congo na kuunga na Nile Ili waendelee kupata maji ya uhakika.

Hongera Sana Ethiopia kwa kuwa na msimamo wa kiume.Sasa Egypt wako bise na Bwawa la Umeme la stiglaz kama bribe ya kuihonga Tzn Ili eti tusitumie miradi mikubwa ya kuchota maji Ziwa Victoria.Kwa taarifa yao wanajisumbua.

Hiki hapa walichoamua Mafarao 👇👇

View attachment 1914421

So umefuraahi Ethiopia kwa kuwa na msimamo wakiume ee 😁😁 Angefanyiwa moja kati ya nchi ya weusi usingeshabikia wala kuanzisha uzi.
 
Acha waarabu waingie tu gharama, walipeleka waafrika utumwani na kuwahasi wanaume wote kisa eti kusije kuwa na mtu mweusi kwenye ardhi zao baadaye. Bure kabisa.

Je, una ushahidi wa hilo mzee?

Mti wenye matunda cku zote hupigwa mawe,, hivi kuna jamii yenye watu wenye roho nzuri, wastaarabu, wakarimu na wenye imaan kama waarabu!!! Siwatetei lakini ukweli ndiyo huo, wewe mwenyewe walijua hilo bac chuki tu zimekuandama na kuongea ucyoyajua mzee.
 
..Egypt ana bwawa la umeme ktk mto Nile lakini hawataki Ethiopia au nchi nyingine ktk bonde la mto huo kuwa na bwawa la kufua umeme.

..Ethiopia iliwahi kuwa na janga kubwa la njaa miaka ya 1980, na mara kwa mara wananchi wananchi wake wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la uzalishaji chakula. wakati huohuo hatujawahi kusikia Egypt wamekumbwa na balaa la njaa kwasababu wanatumia maji ya mto Nile bila kuzuiwa na nchi yoyote.

..Hali haiwezi kuendelea kama ilivyo sasa hivi ambapo Egypt wanafaidika na mto Nile, wakati Ethiopia wanawekewa vikwazo ktk matumizi ya mto unaoanzia nchini kwao. Suluhisho sio nchi moja ipate, na nyingine ikose, bali ni nchi zote zifaidike na matumizi ya maji ya mto Nile.
 
..Mzee Museveni ametoa maelezo murua kabisa kuhusu matumizi ya mto Nile.

 
Back
Top Bottom