Egypt imeigeukia kubembeleza Congo DRC Baada ya Ethiopia Kudinda kuhusu Bwawa la Umeme

Wachimbe chini ya Jangwa la Sahahara kama alivyofanya Ghadafi huenda kuna maji kule
Lakini pia wana bahari ya mediterannian, wafanye desalination
Wakongo wakiuza maji itakuwa jambo la ajabu sana maana huo mkataba utadumu miaka mingi sana na itakuwa vigumu kuusitisha
 
Uchimbwe mtaro lake Victoria ulete maji huku kwengine[emoji28][emoji28]
 
Ethiopia kuna kinchi kinampa kiburi aise 😅 Mungu amsaidie misry afanikishe mipango yake.
 
Je, una ushahidi wa hilo mzee?

Mti wenye matunda cku zote hupigwa mawe,, hivi kuna jamii yenye watu wenye roho nzuri, wastaarabu, wakarimu na wenye imaan kama waarabu!!! Siwatetei lakini ukweli ndiyo huo, wewe mwenyewe walijua hilo bac chuki tu zimekuandama na kuongea ucyoyajua mzee.
Duuuuh😳
 
Eti anamaanisha, kwakuwa babu zako hawakuwa na dini hizo, walistahili kuwa watumwa na mateka wa waarabu, ndo swali la wewe ulikuwepo linapoanzia! Nadhani anamaanisha kuwa wazee walikuwa makafir.

Nimekusaidia tu, simo!
Kwani imesemwa wapi kwamba dini lazima ziwe ni hizo tu zilizoletwa.
 
Egypt hapendi weusi
Tatizo hao waarabu wamekaa nchi ambayo sio yao. Ulisoma history ya kush na kemet miaka hiyo walikuwa kama ndugu. They shared everything na hata vita walisaidiana. But since Kemet ilipoanguka kwa kuvamiwa na Romans na Greece then wakaja hao Arabs basi wamejikuta wa naishi na Blacks ilihali hawana love kwa watu weusi. That's why shida unayoiona now. Hiyo ishu yao ya kuchepusha kutoka mto kongo ndo wataharibu kabisa hao wahuni. Watulie tu wabadli maji ya bahari wanywe.
 
Wachimbe chini ya Jangwa la Sahahara kama alivyofanya Ghadafi huenda kuna maji kule
Lakini pia wana bahari ya mediterannian, wafanye desalination
Wakongo wakiuza maji itakuwa jambo la ajabu sana maana huo mkataba utadumu miaka mingi sana na itakuwa vigumu kuusitisha
Si watapata pesa shida iko wapi? Kuna Eswatini na Msumbiji kama sikosei wanauza maji South Africa
 
Tatizo hao waarabu wamekaa nchi ambayo sio yao. Ulisoma history ya kush na kemet miaka hiyo walikuwa kama ndugu. They shared everything na hata vita walisaidiana. But since Kemet ilipoanguka kwa kuvamiwa na Romans na Greece then wakaja hao Arabs basi wamejikuta wa naishi na Blacks ilihali hawana love kwa watu weusi. That's why shida unayoiona now. Hiyo ishu yao ya kuchepusha kutoka mto kongo ndo wataharibu kabisa hao wahuni. Watulie tu wabadli maji ya bahari wanywe.
Wakichepusha maji ya mto Kongo , watashangaa maji ya mto Nile yatakapomiminika kuelekea Bahari ya Atlantic.
 
Back
Top Bottom