binafsi nna furaha sana leo, hata sijui kwa niniNawatakia Waislamu wote Eid njema yenye furaha na Upendo
Shukrani Mkuu, nawe pia.Nawatakia Waislamu wote Eid njema yenye furaha na Upendo
Kama unawatakia Waislam pekee si ukawatakie misikitini?Nawatakia Waislamu wote Eid njema yenye furaha na Upendo
Eid Mubarak dear, [emoji286]Shukrani Mkuu, nawe pia.
AmiinHali kwangu tete, inanilazimu niikubali hali hii,
Sina cha birhaan wala Pepsi baridi, inshaallah.
Tuwe tunaridhika na maswahiba yanayotukuta.
WASALAAM.
Asante my dear, Insha’Allah.Eid Mubarak dear, [emoji286]
Tualikane.
[emoji120][emoji120][emoji120]Asante my dear, Insha’Allah.
Sunni wako sahihi ndo wenye dini yaoSasa nani amefunga pungu kati ya Bakwata na wale wengine maana walitofautiana kufunga ila wanafungua pamoja