"Eimeeenn!" ni neno ni la lugha gani?

"Eimeeenn!" ni neno ni la lugha gani?

Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
Nimemkumbuka mama mmoja mtu mzima hivi,,,,,kila mara huitikia eimeen....nikaona mmh huyu si bure,,,nikajaribu kumstua,,,aaahh kama unampiga kwenzi kinyago...maha mbeya ya rage,,,,,,,😊
 
Kuna mwamba mmoja mtu wa vyombo walijenga kanisa la mabati mtaani kwao, ikawa Kila akirudi usiku toka kupiga vyombo akifika pale maeneo ya lile kanisa anasikia "Amen Amen" baada ya kama wiki watu wanaamka wanakuta kanisa limebomolewa, kuuliza ndo jamaa anasema hawa jamaa wakanisa wabishi Kila siku Wanabembelezwa wahame hawataki, hapo Sasa ndo ikazaliwa "eimeen" ilikuondoa sintofahamu ya "hameni".
 
Siku hizi wachungaji wamekuja na utaratibu wa kuhubiri wakiwa wawili, moja anatamka maneno mwingine anayarudia yale maneno. Wanawake wakisikia vile huwa wanapandwa na orgasm, duh!
Jambo la kukera kabisa. Wastage of time. Karibu makanisa yote yanayojiita ya kiroho kwenye mahubiri yana huo upumbavu. Hata Wasabato nao wametumbukia huko.
 
Nimemkumbuka mama mmoja mtu mzima hivi,,,,,kila mara huitikia eimeen....nikaona mmh huyu si bure,,,nikajaribu kumstua,,,aaahh kama unampiga kwenzi kinyago...maha mbeya ya rage,,,,,,,😊
Upumbavu tu. Na taifa letu lina tatizo kubwa la afya ya akili. Watu wanapelekwa machinjoni na hawa matapeli ambao wamejificha kichakani panapoaminika hata mkono wa dola hautawagusa. They have found a cheap green pasture!
 
Halafu wale wachungaji wanaowaweke watu mikono vichwani wananikera mno. Mchungaji mmoja alikuwa anamwombea demu wangu huku amemwekea mkono kichwani, Sasa demu akawa mgumu wa kuanguka mchunguaji akaamua kumtegea mguu Kwa mbele na kukishika kichwa Cha demu Kwa nguvu Kisha akamsukuma chuni. Demu alianguka mpaka mapaja yakaonekana.

Nilikasirika mpaka nikasonya kanisani.
 
Screenshot_20241118-092533.png
 
Ndio zao hizo. Mwaka fulani wife aliniomba tuende kanisa fulani hivi ilipofika saa ya kuwekewa mikono nikasema hapa haanguki mtu. Yule mhubiri akaanza kunisukuma nikakaza misuli. Mwisho akasema niende kumuona ofisini😆😆😊🤣
 
Hawana lugha yoyote zaidi ya ile ya kufokafoka ambayo maneno ni male yale Karaboshoo, shantikalai horoshakabongooo! Sasa watu milioni wanaongea sentensi moja kuna ufunuo wa kimungu hapo? Wanalazimisha vipawa😆😆
Kuna mchungaji mmoja anatumia maneno yale yale anaponena Kwa lugha lakini nilipofuatilia kunena Kwa lugha nikagundua kuwa yale maneno huwa hayajirudii na yanakuja automatic. Sasa huyu baba mchungaji anayarudia ana maana gani jameni? Au ndo kilatini.
 
Back
Top Bottom